Jana nilitoka zangu kawaida, bila hata kujua kwamba siku hiyo ningekutana na mtu ambaye angenifanya nicheke mpaka nikasahau nilikuwa naenda kufanya nini.
Nikiwa njiani nikamuona mzungu mmoja...
Ikumbukwe hao wote ni makada na watu wa kupokea maagizo tuu na maelekezo. Wengi wao wamepachikwa kwa utashi na shukrani kutoka namba moja pale kwenye wingi wa gogo, na watu ambao kumbukumbu...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameagiza Mamlaka na Taasisi zinazohusika kuchukua hatua za haraka kujiandaa ili kuzuia na kupunguza athari zinazoweza...
Kituo cha Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) kinachopangwa Morogoro kinafungua fursa mpya katika sekta ya usafirishaji, kwa kuwezesha magari na vyombo vingine kutumia nishati mbadala yenye gharama...
Polisi mnafanya kazi njema, TRA mnasaidia kukusanya mapato.
1. Polisi, kwa kushirikiana na TRA tunaomba kanuni za kulazimisha Pikipiki zote na Bajaji na Maguta kuweka plate number kwa mbele...
Meneja Mpya wa Jengo la RITA TOWER lililopo hapa Dar amekuja ameondoa sinks za kunawia na mifumo ya maji vyooni, sehemu za kunawia kwa ajili ya maboresho lakini hadi sasa ni wiki ya NNE hakuna...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Juzi huku kwetu Zanzibar tulipata msiba wa mzee wetu mzee hafidh ameir, mzee huyu ameondoka ameacha wajane wawili mjane mdogo ni Samia...
Nami pia naongezea Mali nyingine au Utajiri mwingine wa Rais wa Kenya Ruto ambayo ni Kampuni kubwa ya Mafuta ya Stabex ambayo inafanya vizuri sana nchini Uganda.
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
I'm just asking out of curiosity, kwanini hakuna madiwani wa kuteuliwa na Rais/Makamu wa Rais/Waziri mkuu/mkuu wa mkoa??
Tunaona wabunge wa kuteuliwa ila madiwani wa...
Kama hawajapotea na wataenda mbinguni kulikuwa na haja gani ya Yesu Kristo kuja kufa kwa ajili ya dhambi za binadamu na Muhammad kuja na Quran yake ?
Maisha si yangeweza kuendelea tu kama kawaida...
Madereva wa Dar es salaam kufungiwa leseni . Hizi sheria ziop lakini huwa hawafuati.
1. Dereva wa Hizi Eicheza za Gongo la Mboto- Masaki, Kawe- Tegeta na Gerezani, wao muda wote wanapiga honi kali...
Haijawahi kutokea "mamlaka " ikasema chanzo cha ajali ni miundombinu ya barabara kuwa mibovu.
Mitaani na barabara kuu, TANROAD wanapata hela kutoka mafuta tunayoweka kwenye magari, yet hawazibi...
Nashangaa tunashindwa sana kumtrace mtu alipo mpaka kuwaita unaowahisi uwatese kujua fulani ni nani?
Mifumo ya kisayansi na teknolojia haijatumiwa vema na Majeshi yetu,
Hii ni ama walio na...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akizungumza na Viongozi wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Wizara ya Ujenzi...
Huu utaratibu kuwekewa uchafu mlangoni kwenye makazi yetu wakati mtambo wa kusafisha Mto Ng'ombe hapa Dar sio salama kwetu kwa kuwa uchafu wote unakuja kwenye makazi yetu na kutuweka katika hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.