Slangs za kuwatambulisha aina za wadada tofauti mtaani

Slangs za kuwatambulisha aina za wadada tofauti mtaani

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
2,337
Reaction score
5,418
1: Pacome
Mademu wanao nyoa na kupaka bleach za rangi kwenye nywele
Mfano: "huyo pacome wako mtaachana tu"

2: Makebe
Demu alie na makebo makubwa (makalio makubwa)
Mfano: "makebe mmoja kapita hapa, aisee anayatingisha"

3: Tilatila
Demu alie mnene/kibonge
Mfano: "tilatila mmoja ndio amevunja hichi kiti, mzito sanaa"
 
😃😃 secretarybird
Suala la makebo unaLichukuliaje
 
Kuna wale guruwe pori . Mwanadada hajipendi, muda wote yupo rafu rafu hajiweki safi , Hana kipodozi chochote, nywele hasuki hachani, kapauka Pauka lakini ana sura , shape na rangi ya kuvutia
 
Back
Top Bottom