ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,827
- 39,741
Mkuu wa mkoa mpya wa Mwanza CP Salum Hamuduni, mbona unawafanyia hivi Watanganyika, wasukuma wa Mwanza?
Umefungia minada yote kuanzia Nyakato, Saba Saba, Mkolani, Mkuyuni n. K
Hivi unadhani Wana Mwanza wote wana uchumi wa kwenda kununua mahitaji Super market au shopping malls?
Hujui minada ndoo kimbilio la wanyonge kupata mitumba, vya kula na mahitaji mengine?
Mnabomoa vibanda vyote ati mnataka kila mfanyabiashara awe kwenye frame.
Hivi mtaji wa 500k mtu awe na frame kweli?
Hizo frame mnazo za kuwatosha wafanyabiashara wakubwa, wakati na WA chini?
Maeneo mnayo ya kukusanya machinga wote wa Mwanza?
Au mnataka mzalishe majambazi?
Hivi unafungaje magulio, vibanda na hujaandaa mazingira rafiki ya watu kufanya biashara
Binafsi nao Mkuu wa mkoa wa Mwanza kutoka Zanzibar unamhujumu mteule wako
Sijui kama hii kazi ndo ilimshinda Saidi Mtanda, Sasa wewe ndo imekuja kufanya Kwa ufasaha