Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu, Naomba msaada na ushauri kutoka kwa mtu mwenye uzoefu na NSSF au aliyewahi kupitia hali kama yangu. Nilikuwa nimeajiriwa katika kampuni fulani na nilikuwa nachangiwa NSSF. Kwa sasa...
0 Reactions
1 Replies
77 Views
Kuna tatizo kubwa la umeme wilaya ya chunya umeme ni mdogo sana. Hili tatizo limekaa muda sasa zaidi ya miezi miwili. Mahitaji ya umeme kwenye uendeshaji wa shughuli za kila siku za madini ni...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Anonymous
Nina kero kuhusu eneo la Tandika, maeneo ya Chacha na Rahaleo, maarufu kama Mtaa wa Wahaya Wilaya ya Temeke, Dar. Kuna watu wanaofanya biashara ya ngono katika vyumba vilivyopo katikati ya makazi...
0 Reactions
6 Replies
325 Views
Unaambiwa Ethiopia ndio WAMEINGIA 2019, kama una 30 bongo ukienda Ethiopia unakua na 23 ebwana ehhh huko ndo pakwenda kula pensheni, mi kuanzia sasa ni muethiopia
1 Reactions
3 Replies
87 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limeanza kufanyia kazi tukio la kutoweka kwa Shaaban Maulid Songela, mwalimu wa Madrasa na mkazi wa Mtaa wa Mlimanicity, Kata ya Ng’ambo, Manispaa ya Tabora, ambaye...
0 Reactions
16 Replies
215 Views
Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Mhe. Meja Edward Gowele, amewakumbusha wananchi wa Kijiji cha Nyangoto, Kata za Mangoto na Nyangoto, kuzingatia katazo la Serikali la kutofanya maendeleo mapya katika...
1 Reactions
1 Replies
39 Views
Lissu : Tafadhali shahidi jitambuloshe mbele majaji na mahakama Samuya : Naitwa Samuya SH Lissu : Elimu yako ya juu ukipata katika chuo Gani? Samuya: mie nilisoma sokoine University ( mfano)...
2 Reactions
4 Replies
140 Views
https://youtu.be/8SBsWi-SQHE?si=UWsuLLh2v3L1dOzq
0 Reactions
0 Replies
20 Views
Hiyo video ilisambaa sana mwaka jana wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Ukikutana na wahitaji halisi usisite kuwasaidia, hasa watoto. Maisha ni magumu sana kwa walio wengi. Mshukuru MUNGU kama...
3 Reactions
7 Replies
170 Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
1 Reactions
12 Replies
80 Views
1000Tsh=250MB/180Days katika akili ya kawaida, unaaweza kukaa na MB 250 kwa siku 180? Majizi kuwafanya watu mazezeka can not intergrate and differentiate things 1000Tsh=492MB/24Hours...
3 Reactions
11 Replies
113 Views
Kipindi hiki cha mpito kuelekea nusu ya pili ya mwaka kinabeba siri nzito inayotengeneza mstari wa mgawanyiko kati ya yaliyopita na yajayo. Haya sio mabadiliko ya namba kwenye kalenda tu, bali ni...
16 Reactions
38 Replies
541 Views
Ukisoma kisa cha Kaini na Habili ( watoto wa Adam na HAWA ambao KWA mujibu wa mafundisho ya wakristo, waislamu na Wayahudi ina aminika ndio binadamu wa kwanza duniani jambo ambalo ni kinyume na...
13 Reactions
104 Replies
6K Views
Kumekuwa na ongezeko la watoto wa kike ambao wanakataa kuingia kwenye mahusiano kwa visingizio kadhaa ikiwemo wana focus na uchaji Mungu huku wakisubiri mtu sahihi,ambaye kwao ni mwanaume mwenye...
3 Reactions
6 Replies
58 Views
Walimu wazuri wazuri , wanafunzi wazuri wazuri 🎵 Umeingia darasani, ukaeleza somo kwa nguvu zote. 😅 ukatumia mbinu zako shirikishi , mara onesho mbinu n.k Then unawaangalia wanafunzi wako...
0 Reactions
5 Replies
63 Views
Ilibidi tuende kusuruhisha baada ya mke wake kulalamika jina lake kutohusishwa kwenye wosia kama mtu anaye takiwa kurithishwa mali. Ndugu yangu akaanza kueleza kama ifuatavyo: "Mme na mke sio...
3 Reactions
69 Replies
751 Views
Kizazi cha Gen Z sasa ndicho kizazi kikubwa zaidi duniani, kikiwa na wastani wa watu bilioni 2.04 — sawa na 24.8% ya idadi ya watu wote duniani. Kinafuatiwa na Millennials wenye watu bilioni 1.87...
0 Reactions
1 Replies
33 Views
Back
Top Bottom