Mnaotembea tembea Kwenye Nchi za Watu Dar es Salaam ni Kijiji Kweli?
-------------------------------
UPDATE
Daily mail wamefanya Marekebisho na Kuita A Coastal City of Dar es Salaam.
Rooney...
Kwanza nitoe pole kwa familia ya Mwakyembe (mb) kwa kuondokewa na mpendwa wao.
Nije moja kwa moja kwenye mada, toka leo asubuhi clouds fm inaonekana kutangaza kila nusu saa kuhusu msiba as if ni...
Nimekuwa nawasaidia watu ku apply Ajira kwa njia ya tovuti ya utumishi wa umma lakini Hiki kigezo cha kutoa copy vyeti na kupeleka kwa mwanasheria a certify copies zako halafu ndiyo upload kwa...
Wadau,
Niko mtaani huku nasikia taarifa kuwa kuna watoto wamekatwa vichwa huko Tandika wilaya wa Temeke.
Mwenye taarifa kamili atujuze Kama anazo.
----Updates-----
Ni maeneo ya Yombo Dovya...
DUnia nzima imekubaliana kwamba Hewa chafu,Moshi wa magari,Viwandani,Greenhouse gases kwa ujumla ndio chanzo cha MABADILIKO YA HALI YA HEWA DUNIANI.
Binafsi kuna wakati nashawishika kuungana na...
Nahodha Msaidizi wa meli ya MV. Spice Islanders iliyozama katika eneo la Nungwe, Zanzibar, Jumamosi iliyopita, Abdallah Mohammed Ali (30), amefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka ya uzembe na...
Muuguzi anayefanya kazi Kituo cha Afya Kata ya Igurubi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Damian Mgaya (26) anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma ya kumbaka binti wa miaka 18 mkazi wa kitongoji cha...
Enzi zile matajiri wetu hawa walikuwa wanafirisika na tunashuhudia ila siku hizi naona kuna kesi chache au ni nadra sana kusikia au kuona mtu 'mwenye nazo' kafirisika hadi mshale usome 0 kabisa...
Wana jamvi wasalaam..
Baada ya kuwepo na sintofahamu kuhusu swala la kodi ya serikali na wamiliki wa vituo vya mafuta na kupelekea TRA kuanza kuvifunga vituo husika ambazo havijafunga mashine hizo...
Tanga. Wakala wa Barabara (Tanroads) imelazimika kupunguza kona za barabara ya kuelekea Kata ya Chongoleani ili kurahisisha msafara wa marais John Magufuli na Yoweri Museveni watakaowasili hivi...
Dar es Salaam. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imezitoza faini kampuni zote za simu kwa kusajili laini bila vitambulisho na kutofuata utaratibu.
Kampuni zilizotozwa faini hiyo na kiwango...
UINGEREZA: Mwanamama, Arafa Nassib mwenye umri wa miaka 48 amehukumiwa kwenda jela kutumikia kifungo cha miaka miwili na miezi sita kwa kosa la kudanganya kuwa amefariki ambapo cheti chake cha...
Naomba kwanza nianze kumpa ' Kongole / Pongezi ' zangu za dhati kabisa ' Muuandaaji ' wa Kipindi changu ' pendwa ' kabisa cha ' Malumbano ya Hoja ' kinachorushwa na Super Brand Channel ITV kwa...
Watu wawili wamefariki dunia katika kijiji cha Kanyara kata Kanyara mkoani Geita baada ya kukosa hewa wakati wakichimba kisima kirefu cha Maji.
Wakiongea na MO Blog mashuhuda waliokuwa eneo la...
Kumekuwa na wimbi la uingizwaji na utengenezwaji wa mayai na michele feki nchini Tanzania na Afrika kiujumla.
Nachotaka kufahamu kwa wenzetu watanzania ambao wameajiriwa kwenye hivyo viwanda vya...
Kwanza nianze tu kwa kusema kwamba tokea mwaka 1995 hadi mwaka 2005 tulikuwa tukiishi vizuri sana na huyu ‘ Bosi ‘ wetu ambaye ‘ kiukweli ‘ nisifiche ametufanyia mambo mengi mazuri na makubwa sisi...
Punguzo hilo la bei ni sawa na kutoka Sh. 25 kwa lita mpaka karibu ya bure - Sh. 1.60.
Wakizungumza na Nipashe kwa nyakati tofauti, wakazi wa Sengerema walionyesha kufurahia unafuu huo na...
Alisema kumekuwa na tabia kwa baadhi ya wauguzi kutumia fursa hiyo kujipatia fedha haramu, kwa kuwalazimisha wagonjwa kuchangia gharama za ununuzi wa mafuta ya gari la wagonjwa, ndipo wapate...
Haya malalamika ya websites za serikalini naona sasa yamezidi, kwenye Idara, Taasisi, Shirika, Bunge na Wizara malalamiko ni yaleyale, na mimi kweli nilijaribu kuingia katika zote, kuanzia TBC...
Rais John Pombe Magufuri akipokea Sadaka toka kwa Waumini waliohudhuria Ibada ya leo. Sadaka hizi ni maalum katika upanuzi Wa Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.