Shule bila ada: Elimu kuhusu mashine zinazotakiwa kufungwa kwenye vituo vya kuuza mafuta nchini

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,211
42,074
Wana jamvi wasalaam..
Baada ya kuwepo na sintofahamu kuhusu swala la kodi ya serikali na wamiliki wa vituo vya mafuta na kupelekea TRA kuanza kuvifunga vituo husika ambazo havijafunga mashine hizo zinazo takiwa na TRA na hili limewakumba watoa huduma wengi sana na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wananchi.....
Lakini kuna sehemu nimekuta mwana JF Macos ameelezea vyema sana kuhusu hili swala na mashine zinazo hitajika nami nikaona ni vyema elimu ile isipite hivi hivi na niiweke kwenye uzi wake maalum ili wana jf wengine wanufaike..

Na Macos -Mwana jf
Hebu jifunze kujua ukweli.....

NINI UKWELI NA UNDANI WA JAMBO HILI?
Watanzania wajue kuwa vituo vya mafuta (sheli) vinavyofungwa siyo kwamba vinafungwa kwa sababu havina mashine za EFDs (mashine za kutolea risti za TRA ) laaah hasha bali ni kwa kuwa havina kwa kuwa havina EFPs (Electronic Fuel Printers), EFPs ni mashine zinazofungwa kwenye pampu ya kujazia mafuta na kila mafuta yakitoka zenyewe zina print karatasi ya kuonyesha kuwa mafuta ya kiasi kadhaa yametolewa, hii inasaidia kuonyesha uhalisia wa mafuta yaliyonunuliwa na kuondoa makosa ya kibinadamu kama mteja atasahau kuomba risiti zile za EFD.

KWA NINI TRA NA SERIKALI WANALAZIMISHA KUFUNGWA KWA MASHINE HIZI?

TRA na serikali wanalazimisha kufungwa kwa mashine za EFP ili kuwasaidia kujua faida iliyopatikana kutokana na mauzo ya mafuta kwenye kituo husika , kulingana na sheria za uuzwaji wa mafuta muuzaji anapoenda kuyanunua kwa supplier mkubwa basi hulipia kodi zote na pesa yote ya serikali pale pale depot alipoenda kuyachukua, hivyo mafuta yakifika kituoni huwa yamekwisha lipiwa kila kitu (shs 756 kwa kila lita ni pesa ya serikali). Ikumbukwe serikali imeondoa VAT kwa bidhaa zote za mafuta zinazoingia nchini kwa mwaka huu wa bajeti, hivyo muuzaji wa mafuta huwa amejikamilisha kabla ya mafuta yake kuanza akuuzwa kituoni (sheli).

Vivyo hivyo kwa mujibu wa sheria za biashara hiyo inatakiwa faida inayopatika kutokana na uuzwaji wa mafuta muuzaji achukue 70% na serikali ichukue 30% kama income duty. Kwa maana hiyo sasa serikali siyo kwamba inalazimisha kufungwa kwa mashine hizi za EFP ili ikusanye kodi yake kwenye mafuta (kumbuka kodi zote hulipwa kabla ya mafuta kuingia sheli) bali sasa wanataka kujua kila faida inayopatikana kwa uuzwaji wa mafuta ili wachukue 30% yao kwa mujibu wa sheria zao walizojiwekea na wafanyabiashara wa mafuta.

Hivyo basi mashine za EFP ni mahsusi kuwasaidia kutambua kiasi cha faida kinachopatikana na siyo kuwasaidia kukusanya kodi kama wadau wengi wanavyojua, mashine mahsusi za kodi ni EFD. Hata sasa ukienda kwenye sheli nyingi zilizofungwa kwa kukosa mashine hizo za EFP utazikuta zina mashine za EFD kwa ajili ya kutoa risti kwa wateja.

MCHAKATO WA EFP.

TRA iliwataarifu wafanyabiashara wa mafuta kuhusu umuhimu wa kuwa na mashine za EFP na hivyo ikawaingiza kwenye mchakato wa kuzipata mashine hizo miaka kadhaa iliyopita, lakini wadau wa sekta hiyo walishindwa kuelewana na TRA kwa sababu ya ughali wa mashine moja ya EFP, TRA ilitoa tenda kwa makampuni matano kusambaza mashine hizo kwa wafanyabishara huku zikiwa zinauzwa kwa jumla ya Dollar 5000 (kwa maana ya kwamba sheli yenye pampu tano za mafuta ilihitajika kutoka Dollar 25,000 kufungiwa mashine hizo sawa na kiasi cha shillingi mil 55) sawa na shillingi mil 11 kwa mashine moja hali iliyoibua utata juu ya suala hilo hivyo ikawabidi wafanyabiashara hao waombe mazungumzo na TRA.

Baada ya mazungumzo wadau waliomba kujua mfano wa nchi zinazotumia mashine hizo TRA ikawaambia Uturuki ni mfano wa nchi zinazotumia mashine za EFP , hivyo ikawabidi tena wakaomba kufanya utafiti na TRA huko Uturuki juu ya uendeshaji wa mashine hizo na zoezi zima, TRA ilikubali nao wakaunda tume ya watu kadhaa na TRA ikawakilishwa na wafanyakazi wake 3 wakubwa kwenda Uturuki kufanya utafiti, walipofika kule waligundua kwamba

1. Bei ya mashine moja ya EFP siyo dollar 5000 bali ni chini ya hapo.

2. Zoezi la kutengeneza na kuzifunga mashine za EFP siyo la siku moja wala wa siku mbili ni zoezi la miezi kadhaa.

Walivyorudi nchini wakakubaliana yafuatayo

1. Kufunga mashine za EFP kwa bei standard inayoendana na uhalisia wa kifaa chenyewe na siyo kwa bei ya awali ya dollar 5000 kwa kila mashine.

2. Mchakato wa ufungaji wa mashine hizi uanze na wale wenye mitaji mikubwa (CODO) kama nilivyoeleza hapo chini kwenye aya inayofuata.

3. Mchakato uende kwa awamu ili kuwawezesha wadau wote kujichanga na kuufanikisha maana EFP.

4. Bei ya kufunga mashine 04 iwe ni dollar 3000 na siyo dollar 20,000 kama TRA ilivyowaambia awali. Kwa maana ya kwamba mashine moja ifungwe kwa gharama ya dollar 750 na siyo dolllar 5,000.

Wakiwa wamekubaliana na serikali na TRA katika mazungumzo hayo miezi miwili iliyopita wameshangaa kuona tena serikali na TRA wakizifunga sheli za uuzwaji wa mafuta, huku wakijua kwamba wadau walikwisha kubali kutumia mashine za EFP na waikuwa wanangojea tu barua ya serikali ya kuthibitisha makubaliano ya mkataba wao na serikali (TRA) juu ya jambo hilo.

KWA NINI VITUO VINGINE VINA MASHINE ZA EFP NA VINGINE HAVINA?

Wadau wa sekta ya biashara ya mafuta wanasema na kuthibitisha kwamba katika biashara hii kuna makundi matatu ya wafanyabiashara wa mafuta.

1. CODO (Companies Operated Dealers Operated)
2.DODO (Dealers Operated, Dealer Operated)
3.COCO (Companies Operated, Companies Operated)

Makundi haya matatu yametofautina kwa msingi mkuu wa MTAJI. Kundi la kwanza la CODO linajumuisha makampuni ya kimataifa na yenye mitaji mikubwa ya kibiashara na hivyo hayajapata shida kufunga mashine hizi kwa kila pampu kwa gharama waliyokubaliana na (Dollar 3,000 kwa mashine 04) serikali na wakala wake TRA. Kundi hili la CODO ni 13% ya jumla ya wafanyabiashara wote wa bishara ya mafuta ya reja reja. Mfano wa makampuni hayo ni PUMA, TOTAL, ENGEN n.k ndio maana hujaona shell za hawa wa kimataifa zimefungwa kwa kukosa mashine za EFP.

Kundi la pili ni la DODO , hawa ni wafanyabishara wa ndani ya nchi (wazawa) na wenye mitaji ya kati na midogo ambo wanajiendesha, hawa mitaji yao siyo mikubwa ukilinganisha na wale wa kimatifa CODO, hawa nao wmaepata ugumu kukamilisha zoezi hili kwa sababu walishindwa kuendana na bei ya mashine kwa kila pampu kutokana na ughali wake, mifano wa makampuni ya CODO ni OILCOM. GBP n.k na ndio maana ukipita mjini hususani shell zot za Oilcom zilizopo kila eneo haswa jijini Dar utakut zimefungwa kwa sababu hiyo ya kukosa EFP.

Kundi la mwisho ni COCO , hawa ni wadau wadogo sana mbao wamejichanga changa wakatimiza masharti ya EWURA na wakaenda kumba kibali cha kufungua sheli ili wafanye biashara ya mafuta, hawa nao walishindwa kuhimili bei elekezi ya mashine za EFP kama walivyopewa na TRA .

JE ZOEZI LITAKAMILIKA KARIBUNI?

Zoezi la kufunga mashine za EFP halitarajiwi kukamilika leo wala kesho kwa sababu mawakala waliopewa kazi na TRA ya kuzisambaza mashine hizo wenyewe wamekiri kutokuwa na mashine za kutosha kuweza kupeewa kila pampu iliyopo kwenye vituo vya mafuta nchini, mawakala hao wanasema wanazo mashine 200 tu kwa sasa , ambazo kwa uhalisia zinaeza kutosha vituo 40 tu na nchi nzima utambue kuwa kuna vituo 1800 vya kuuza mafuta. Na wanasema wataomba kupewa idadi ya pampu za mafuta zilizopo nchi nzima ili wakatengeneze mashine zinazoendana na pampu hizo (kama kuna pampu (9,000) basi wanahitaji mashine 9,000) tena kwa pamoja, hivyo huu siyo mchakato unaoweza kukamilika leo au kesho bali utachukua muda mrefu.

NINI KIFANYIKE

Serikali na TRA warudi kwenye misingi ya mazungumzo kati yao na wadau wa sekta hii ya biashara ya mafuta. Kukurupuka kurupuka kwa serikali kwenye jambo hili kutawaumiza siyo tu wananchi bali kila sekta ndani ya nchi hii. Kutakuwa na uhaba wa mafuta na mambo mengi hayataweza kuendeshwa nchini.

Credit to Macos
N:B Kuhusu swala Machine kila pump leo nimemsikia Bwana Richard Kayombo kutoka TRA kupitia E-FM akitolea ufafanuzi kuwa walikubaliana na watoa huduma wa mafuta kuwa kwenye vituo vyenye pump nyingi wamekubaliana kuwa mashine moja inaweza kufungwa na kuunganishwa kwenye pump nne za kutolea mafuta na zikatoa risiti bila shida yeyote.
 
Safi sana mkuu nimekusoma vema sana.Hii ni aina ya mambo tunayotaka humu ndni

Post sent using JamiiForums mobile app
 
naona SETH KATUNDU,(bikira wa kisukuma) ashapata mrithi before rotten...
 
mkuu soma vizuri ..hiyo nimecopy kutoka humu ndani na nilichofanya ni kuianzishia thread tuu.... kuhusu kutumia neno shule bila ada mmmh maana hilo neno ni la kiswahili tuu lina maanisha kuwa unapata elimu bila kulipia sema tuu kwakuwa marehemu ndio alianza kulitumia...
 
Siwezi amini kama ni wewe umeleta hii kitu hapa. Mimi nilishaacha siku nyingi kusoma mada zako kwa tabia yako ya kuandika utumbo. Hizi ndizo aina ya habari ninazotaka. Nyeupe unasema hii ni nyeupe na siyo kujifanya huna macho kwa makusudi.
 
[QUOTE="

.[/QUOTE]

On assumption hayo mafuta hapo kituo cha mafuta yamejipeleka yenyewe, mteja akienda nunua yanajijaza yenyewe(hakuna pump attendant?), hayalipiwi umeme? kituo ni cha serikali(hulipi rent)?

Hakuna serikali inachoweza kujua zaidi ya correct turnover ya mauzo kwa hicho kituo......wakienda kukotoa gharama za kuendesha biashara wanaweza wasipta kitu vile vile
 
We ni muongo mashine moja inauwezo wa kuhudimia pump 4 na sio kila pump inatumia mashine moja...na mashine moja inauzwa milion 8600000 hali halisi ndo ilivo na ukisha lipia unafunguliwa kuendelea na biashara ukisubiri kuja kufungiwa...umeandka mengi kwa kudanganya umma.

Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
 
Unajua kusoma? Rudia kusoma maana yote hayo yapo ndani ya uzi sasa sijui unabisha nini

Usikurupuke kujibu bila kusoma unaonekana mpumbaavu
 
duuh mambo mengine sio ya kukurupuka kurupuka hayafai

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wana jamvi wasalaam..
Baada ya kuwepo na sintofahamu kuhusu swala la kodi ya serikali na wamiliki wa vituo vya mafuta na kupelekea TRA kuanza kuvifunga vituo husika ambazo havijafunga mashine hizo zinazo takiwa na TRA na hili limewakumba watoa huduma wengi sana na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wananchi.....
Lakini kuna sehemu nimekuta mwana JF Macos ameelezea vyema sana kuhusu hili swala na mashine zinazo hitajika nami nikaona ni vyema elimu ile isipite hivi hivi na niiweke kwenye uzi wake maalum ili wana jf wengine wanufaike..

Na Macos -Mwana jf
Hebu jifunze kujua ukweli.....

NINI UKWELI NA UNDANI WA JAMBO HILI?
Watanzania wajue kuwa vituo vya mafuta (sheli) vinavyofungwa siyo kwamba vinafungwa kwa sababu havina mashine za EFDs (mashine za kutolea risti za TRA ) laaah hasha bali ni kwa kuwa havina kwa kuwa havina EFPs (Electronic Fuel Printers), EFPs ni mashine zinazofungwa kwenye pampu ya kujazia mafuta na kila mafuta yakitoka zenyewe zina print karatasi ya kuonyesha kuwa mafuta ya kiasi kadhaa yametolewa, hii inasaidia kuonyesha uhalisia wa mafuta yaliyonunuliwa na kuondoa makosa ya kibinadamu kama mteja atasahau kuomba risiti zile za EFD.

KWA NINI TRA NA SERIKALI WANALAZIMISHA KUFUNGWA KWA MASHINE HIZI?

TRA na serikali wanalazimisha kufungwa kwa mashine za EFP ili kuwasaidia kujua faida iliyopatikana kutokana na mauzo ya mafuta kwenye kituo husika , kulingana na sheria za uuzwaji wa mafuta muuzaji anapoenda kuyanunua kwa supplier mkubwa basi hulipia kodi zote na pesa yote ya serikali pale pale depot alipoenda kuyachukua, hivyo mafuta yakifika kituoni huwa yamekwisha lipiwa kila kitu (shs 756 kwa kila lita ni pesa ya serikali). Ikumbukwe serikali imeondoa VAT kwa bidhaa zote za mafuta zinazoingia nchini kwa mwaka huu wa bajeti, hivyo muuzaji wa mafuta huwa amejikamilisha kabla ya mafuta yake kuanza akuuzwa kituoni (sheli).

Vivyo hivyo kwa mujibu wa sheria za biashara hiyo inatakiwa faida inayopatika kutokana na uuzwaji wa mafuta muuzaji achukue 70% na serikali ichukue 30% kama income duty. Kwa maana hiyo sasa serikali siyo kwamba inalazimisha kufungwa kwa mashine hizi za EFP ili ikusanye kodi yake kwenye mafuta (kumbuka kodi zote hulipwa kabla ya mafuta kuingia sheli) bali sasa wanataka kujua kila faida inayopatikana kwa uuzwaji wa mafuta ili wachukue 30% yao kwa mujibu wa sheria zao walizojiwekea na wafanyabiashara wa mafuta.

Hivyo basi mashine za EFP ni mahsusi kuwasaidia kutambua kiasi cha faida kinachopatikana na siyo kuwasaidia kukusanya kodi kama wadau wengi wanavyojua, mashine mahsusi za kodi ni EFD. Hata sasa ukienda kwenye sheli nyingi zilizofungwa kwa kukosa mashine hizo za EFP utazikuta zina mashine za EFD kwa ajili ya kutoa risti kwa wateja.

MCHAKATO WA EFP.

TRA iliwataarifu wafanyabiashara wa mafuta kuhusu umuhimu wa kuwa na mashine za EFP na hivyo ikawaingiza kwenye mchakato wa kuzipata mashine hizo miaka kadhaa iliyopita, lakini wadau wa sekta hiyo walishindwa kuelewana na TRA kwa sababu ya ughali wa mashine moja ya EFP, TRA ilitoa tenda kwa makampuni matano kusambaza mashine hizo kwa wafanyabishara huku zikiwa zinauzwa kwa jumla ya Dollar 5000 (kwa maana ya kwamba sheli yenye pampu tano za mafuta ilihitajika kutoka Dollar 25,000 kufungiwa mashine hizo sawa na kiasi cha shillingi mil 55) sawa na shillingi mil 11 kwa mashine moja hali iliyoibua utata juu ya suala hilo hivyo ikawabidi wafanyabiashara hao waombe mazungumzo na TRA.

Baada ya mazungumzo wadau waliomba kujua mfano wa nchi zinazotumia mashine hizo TRA ikawaambia Uturuki ni mfano wa nchi zinazotumia mashine za EFP , hivyo ikawabidi tena wakaomba kufanya utafiti na TRA huko Uturuki juu ya uendeshaji wa mashine hizo na zoezi zima, TRA ilikubali nao wakaunda tume ya watu kadhaa na TRA ikawakilishwa na wafanyakazi wake 3 wakubwa kwenda Uturuki kufanya utafiti, walipofika kule waligundua kwamba

1. Bei ya mashine moja ya EFP siyo dollar 5000 bali ni chini ya hapo.

2. Zoezi la kutengeneza na kuzifunga mashine za EFP siyo la siku moja wala wa siku mbili ni zoezi la miezi kadhaa.

Walivyorudi nchini wakakubaliana yafuatayo

1. Kufunga mashine za EFP kwa bei standard inayoendana na uhalisia wa kifaa chenyewe na siyo kwa bei ya awali ya dollar 5000 kwa kila mashine.

2. Mchakato wa ufungaji wa mashine hizi uanze na wale wenye mitaji mikubwa (CODO) kama nilivyoeleza hapo chini kwenye aya inayofuata.

3. Mchakato uende kwa awamu ili kuwawezesha wadau wote kujichanga na kuufanikisha maana EFP.

4. Bei ya kufunga mashine 04 iwe ni dollar 3000 na siyo dollar 20,000 kama TRA ilivyowaambia awali. Kwa maana ya kwamba mashine moja ifungwe kwa gharama ya dollar 750 na siyo dolllar 5,000.

Wakiwa wamekubaliana na serikali na TRA katika mazungumzo hayo miezi miwili iliyopita wameshangaa kuona tena serikali na TRA wakizifunga sheli za uuzwaji wa mafuta, huku wakijua kwamba wadau walikwisha kubali kutumia mashine za EFP na waikuwa wanangojea tu barua ya serikali ya kuthibitisha makubaliano ya mkataba wao na serikali (TRA) juu ya jambo hilo.

KWA NINI VITUO VINGINE VINA MASHINE ZA EFP NA VINGINE HAVINA?

Wadau wa sekta ya biashara ya mafuta wanasema na kuthibitisha kwamba katika biashara hii kuna makundi matatu ya wafanyabiashara wa mafuta.

1. CODO (Companies Operated Dealers Operated)
2.DODO (Dealers Operated, Dealer Operated)
3.COCO (Companies Operated, Companies Operated)

Makundi haya matatu yametofautina kwa msingi mkuu wa MTAJI. Kundi la kwanza la CODO linajumuisha makampuni ya kimataifa na yenye mitaji mikubwa ya kibiashara na hivyo hayajapata shida kufunga mashine hizi kwa kila pampu kwa gharama waliyokubaliana na (Dollar 3,000 kwa mashine 04) serikali na wakala wake TRA. Kundi hili la CODO ni 13% ya jumla ya wafanyabiashara wote wa bishara ya mafuta ya reja reja. Mfano wa makampuni hayo ni PUMA, TOTAL, ENGEN n.k ndio maana hujaona shell za hawa wa kimataifa zimefungwa kwa kukosa mashine za EFP.

Kundi la pili ni la DODO , hawa ni wafanyabishara wa ndani ya nchi (wazawa) na wenye mitaji ya kati na midogo ambo wanajiendesha, hawa mitaji yao siyo mikubwa ukilinganisha na wale wa kimatifa CODO, hawa nao wmaepata ugumu kukamilisha zoezi hili kwa sababu walishindwa kuendana na bei ya mashine kwa kila pampu kutokana na ughali wake, mifano wa makampuni ya CODO ni OILCOM. GBP n.k na ndio maana ukipita mjini hususani shell zot za Oilcom zilizopo kila eneo haswa jijini Dar utakut zimefungwa kwa sababu hiyo ya kukosa EFP.

Kundi la mwisho ni COCO , hawa ni wadau wadogo sana mbao wamejichanga changa wakatimiza masharti ya EWURA na wakaenda kumba kibali cha kufungua sheli ili wafanye biashara ya mafuta, hawa nao walishindwa kuhimili bei elekezi ya mashine za EFP kama walivyopewa na TRA .

JE ZOEZI LITAKAMILIKA KARIBUNI?

Zoezi la kufunga mashine za EFP halitarajiwi kukamilika leo wala kesho kwa sababu mawakala waliopewa kazi na TRA ya kuzisambaza mashine hizo wenyewe wamekiri kutokuwa na mashine za kutosha kuweza kupeewa kila pampu iliyopo kwenye vituo vya mafuta nchini, mawakala hao wanasema wanazo mashine 200 tu kwa sasa , ambazo kwa uhalisia zinaeza kutosha vituo 40 tu na nchi nzima utambue kuwa kuna vituo 1800 vya kuuza mafuta. Na wanasema wataomba kupewa idadi ya pampu za mafuta zilizopo nchi nzima ili wakatengeneze mashine zinazoendana na pampu hizo (kama kuna pampu (9,000) basi wanahitaji mashine 9,000) tena kwa pamoja, hivyo huu siyo mchakato unaoweza kukamilika leo au kesho bali utachukua muda mrefu.

NINI KIFANYIKE

Serikali na TRA warudi kwenye misingi ya mazungumzo kati yao na wadau wa sekta hii ya biashara ya mafuta. Kukurupuka kurupuka kwa serikali kwenye jambo hili kutawaumiza siyo tu wananchi bali kila sekta ndani ya nchi hii. Kutakuwa na uhaba wa mafuta na mambo mengi hayataweza kuendeshwa nchini.

Credit to Macos
N:B Kuhusu swala Machine kila pump leo nimemsikia Bwana Richard Kayombo kutoka TRA kupitia E-FM akitolea ufafanuzi kuwa walikubaliana na watoa huduma wa mafuta kuwa kwenye vituo vyenye pump nyingi wamekubaliana kuwa mashine moja inaweza kufungwa na kuunganishwa kwenye pump nne za kutolea mafuta na zikatoa risiti bila shida yeyote.
Tatizo la Macos ameandika akiwa upande mmoja akikwepa kuwa wazi pale anapotaka kuwaonyesha wafanyabiashara ya mafuta ni wema. Baadhi ya sentensi hasemi kwa uwazi ili tujue kama kweli kuna sababu ya mtu anayejiita mfanyabiashara kuamua kufunga kituo kwa sababu tu, amedaiwa kufunga mashine. tena siyo leo au jana, waliambiwa miaka zaidi ya miwili iliyopita.

Kwa mfano, walipokwenda Uturuki na kukuta bei ni tofauti, hiyo bei waliyoikuta hakuitaja. Anapoeleza madaraja ya wauza mafuta, yaani CODO, DODO na COCO haelezi hao anaowaita ni wadogo na wamejikusanya, wana mitaji ya kiasi gani hadi washindwe kulipa hiyo waliyokubaliana ya dola 3000 kwa mashine 4. Watu bado wanatafuta super profit kama walivyotuumiza kipindi cha kuchanganya mafuta ya taa.

Kama wamegeukana na TRA hilo litaeleweka maana TRA siyo kampuni ya familia, lakini lazima na wao watueleze kwa nini walishindwa kufunga mashine baada ya makubaliano ya dola 3000 kwa mashine 4. Kama kweli mitaji yao ni midogo kiasi cha kushindwa hata hiyo bei, wakaanza kujivuta, basi hawastahili hata kutuuzia mafuta. hawa ndo wale, wanaotuchanganyia uchafu ili wainuke. Wengi ni wakwepaji tu wakiamini mbinu itainua biashara yao.
 
Siwezi amini kama ni wewe umeleta hii kitu hapa. Mimi nilishaacha siku nyingi kusoma mada zako kwa tabia yako ya kuandika utumbo. Hizi ndizo aina ya habari ninazotaka. Nyeupe unasema hii ni nyeupe na siyo kujifanya huna macho kwa makusudi.
Amecopy na kupaste, huyo yeye kama yeye hana ufahamu wa kuyaelewa haya mambo.
 
kwa hili naomba niwapigie makofi MARCOS na Wewe bwana RUTTASHOBOLWA kwa kutoa elimu na mwingine kukumbushia.

Ila suala la msingi ambalo lipo na inabidi lieleweke ina lengo ni nchi iende mbele na watanzania wapate Maendeleo, kitu kikubwa ambacho ni moja ya Matatizo ya nchi kinajieleza kabisa hapo juu kwenye Maada husika, UKURUPUKAJI, UWEZO MDOGO KIAKILI, UFISADI NA MATUMIZI MABAYA YA MAMLAKA...

UKURUPUKAJI: DISCUSSION ZILISHAFANYIKA NA MAKUBALIANO YA PANDE ZOTE YALIFIKIWA LAKINI CHA KUSHANGAZA SERIKALI INAKUJA KUCHUKUA HATUA NJE YA MAKUBALIANO.

UWEZO MDOGO KIAKILI:
CASE STUDY YA PROJECT INAFANYIKA UTURUKI NA MTU ANACOPY NA KUPASTE KILA KITU TANZANIA BILA HATA KUSHIRIKISHA AKILI YAKE NA KUFANANISHA MAZINGIRA YA UTURUKI NA TANZANIA, MWISHOWE NI MIGOGORO ISIYO NA MAANA.

UFISADI : HAPA KUNA KAHARUFU KA WIZI, KUTOKA $5000/ piece mpaka $ 750/piece, tena hii imekuja baada ya malalamiko ya wadau vinginevyo ingekula kwa wahusika.

MATUMIZI MABAYA YA MAMLAKA : Uchukuaji wa maamuzi bila kuhusisha wadau imekuwa ni jambo la mazoea kwa Tanzania mwisho wasiku ni machafuko na uonevu kwa wahusika, hali hii husababisha watu kufunga biashara na matokeo yake serikali kukosa mapato mengi na watanzaia kupoteza ajira..

tukio hili liwe somo kwa mamlaka na wale wote wanaobeza wale wakosoaji na kuwaona kama hawana akili ila mamlaka ndio kila kitu, lakini tukichukulia hili suala kwa nguvu basi ni elimu tosha na ifahamike tukio hili ni sehemu ya matatizo mengi ambayo hutokea kwa watanzania hasa wasio na nguvu za kiuchumi na uelewa kichwani..
 
Back
Top Bottom