Gesi (GREENHOUSE GASES) za viwandani havibadili hali ya hewa wala kusababisha Grobal warming...

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
DUnia nzima imekubaliana kwamba Hewa chafu,Moshi wa magari,Viwandani,Greenhouse gases kwa ujumla ndio chanzo cha MABADILIKO YA HALI YA HEWA DUNIANI.

Binafsi kuna wakati nashawishika kuungana na watu wachache wanaoona, Hili suala ni la kisiasa zaidi na kimakubaliano ila sidhani kama kuna ushahidi wa kutosha wakisayansi kuwa hizo gesi husababisha mabadiliko ya hali ya hewa duniani.

Sidhani kama kuna chombo kimewahi kwenda huko juu na kuja naushahidi wa kujitosheleza badala yake ushahidi mwingi huwa ni yanayosadikika kuwa matokeo.

Wanajiografia na wajuvi wa mambo. Kuna ushahidi wowote usio na shaka kwamba Ongezeko la joto duniani, na mabadiliko ya kimazingira yanasababishwa na moshi wa sumu viwandani,kwenye magari,gesi...
 
Mkuu nimefungua uzi huu nikijua umekuja na point za kupinga hizo theories kama kichwa chako cha habari kinavyosema kunbe na wewe unatafuta ukweli.
 
Back
Top Bottom