Ajali na majanga ya msimu

Free ideas

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
3,456
1,937
Ingweeeeeee!!!, .

Nakumbuka kuna muda hua ajali na majanga vinashamiri sana kitaifa na hata kimataifa.Kuna wakati hua ndege nyingi zinaripotiwa kuanguka sehem mbali mbali duniani na kusababisha maafa mkubwa.

Lakini pia ajali za Treni pamoja na magari sehemu mbali mbali duniani.Bila kusahau ajali za magari hasa mabasi ya mikoani, majanga ya moto n.k.

Majanga kama vimbunga, matetemeko ya ardhi, volcano, Tsunami, Catrina, Typhoon na mengineyo hua yanatokea kwa kufuatana sana.

But for the past 4-8 months hakuna matukio ya ajali kubwa sana yaliyoripotiwa.Mi ni mfuatiliaji sana wa taarifa za habar na matukio kadhaaa kimataifa na kitaifa pia lakini sijaona mfururizo wa majanga na matukio hayo kwa miezi kadhaa ilopita.

Binafsi siamini katika mungu, shetani, uchawi, uganga wala nyota.
Ninachotaka tujadili hapa ni 'Je mambo haya yana msimu?.Ama hutokea tu inapofika?

Najua watu wa mungu mtakuja na kusema , ohh mara mungu anapanga ama ohh shetani yuko kazini au sijui free mason.Hayo siyahitaji nataka tujadili kwa jicho la tatu kuhusu labda kuwepo msimu wa matukio haya kama ambavyo kwa sasa hatusikii magari ya mikoani yakipata ajali na kuua watu.Je kuna msimu.

Binafsi naamini labda wakati wa mvua ajali hua nyingi kutokana na hali ya hewa na barabara kuharibika.

Wewe unaamini vipi?


....Free ideas....
 
Free ideas.


Mimi nahisi hatujaamua kufanya ajali,huwa tunaamua tu.

Dereva wa basi anaamua tu kuwamimina watu mtoni,wa ndege naye vinyo hivyo wa meri.

Kihusu msimu nayo ni kama mvua tu.
 
Free ideas.


Mimi nahisi hatujaamua kufanya ajali,huwa tunaamua tu.

Dereva wa basi anaamua tu kuwamimina watu mtoni,wa ndege naye vinyo hivyo wa meri.

Kihusu msimu nayo ni kama mvua tu.
Hahahha sawa bhana

....Free ideas....
 
Back
Top Bottom