Hongera Mkoa wa Pwani kutoa shule 4 kati ya 10 bora Tanzania ..mtihani kidato cha sita 2017

IMG_20170716_203724.jpg
 
Mmiliki wa kibaha secondary ni nani

Post sent using JamiiForums mobile app


Simfahamu na usichukulie point hiyo kwa upekee wake maana nimweka mbili.

Ila hoja yangu ni kuwa kuna uhusiano gani wa moja kwa moja wa mafanikio ya shule hizo, wanafunzi na mkoa wa Pwani. Hao watoto wameshamaliza shule na uwezekano wa kurudi mkoani hapo kurejesha mafanikio yao ni.l mdogo sana. Kifupi uhusiano wao na mkoa haupo. Asilimia 99 sio asili yao mkoa wa pwani unless mtoa mada afafanue hoja yake.
 
Hakuna cha kujifunza kutoka pwani, Kwani hata zingejengwa lindi matokeo yasingekuwa tofauti . Tujifunze kutokana na shule zenyewe siyo mkoa
Utaitajaje shule bila kuutaja mkoa ilipo hyo shule?acheni wivu ninyi.
KARIBU BAGAMOYOOOOOO.PWANII.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom