ITV badilisheni controller wa sauti wakati wa habari

ITV badilisheni controller wa sauti wakati wa habari

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,318
Reaction score
12,824
Anazingua kinoma mara sauti ibust mara iwe chini. Bure kabisa huyo,tafuteni mtu competent au mpelekeni akasome,news inaboa hasa wakati wa matangazo mtu unashikilia remote controller kila wakati wanawashinda hata Channel Ten et.al?


Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
 
Na marepoter hasa wa mikoani,sijui wamewatoa wapi daah unasikiliza wanavyorepot ukifananisha na wale wa KTN unaona gap

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Waimprove na habari za michezo sio wanatuwekea picha za mnato
 
Anazingua kinoma mara sauti ibust mara iwe chini. Bure kabisa huyo,tafuteni mtu competent au mpelekeni akasome,news inaboa hasa wakati wa matangazo mtu unashikilia remote controller kila wakati wanawashinda hata Channel Ten et.al?


Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
Hii hata mm nimenotice ni shida kwa kweli, hata kipindi cha dk45 wakati anaongea Mzee Shimbo sauti inakuwa chini, likija tangazo ghafla suti juu kwa kweli inaboa sana
 
Waimprove na habari za michezo sio wanatuwekea picha za mnato
Exactly, me ni mpenzi sana wa ITV especially habari ila habari za michezo kimataita ndiyo hamna kitu kabisa huwezi ona action yeyote na coverage iko very shallow.!! Sijui wanapuuzia au ni nn
 
Back
Top Bottom