Msakaa Jr
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,451
- 7,930
Habari za wakati wakuu.
Ngoja twende moja kwa moja kwenye mada yetu.
Imekua ni utaratibu wa kawaida kwa wanandoa kuvishana Pete kidoleni wakati wa kufunga ndoa kanisani.Ikimaanisha kula yamini yakutoachana mpaka hapo kifo kitakapo watenganisha.
Kuna baadhi ya watu hudaikwamba "mapenzi hayapo kidoleni bali yapo moyoni" hivyo kupinga kabisa uvaaji wapete na huona kama ni mzingo usio wa lazima kuendelea kuubeba baada ya sherehe za kanisani.
Huku wengine wakidai kwamba "mwanandoa kuacha kuvaa pete kidoleni ni udhibitisho uliotukuka wa mtu huyo kua mzinzi".
Ninyi wakuu mnaamini katika mtazamo upi wa kwanza au wa pili?
nawasilisha.