Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Samahani wanajamvi wenzangu wenye ujuzi wa sheria naomba kujua sheria au kifungu cha Uchochezi kipo kwenye sheria gani na ni namba ngapi?
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Baada ya Unafiki na Usaliti mkubwa uliotukuka na kuvuka mpaka uliofanywa na Vyombo hivi vya Habari vinavyoheshimika nchini vya Startv na RFA kisha Channel Ten na Magic fm kisha leo hii asubuhi...
18 Reactions
96 Replies
9K Views
Nilikuwa napiga kinywaji jana pale Landmark Hotel Ubungo Riverside, nikabadilisha mawili matatu na mmliki wake na akaniambia Hosteli hazilipi, anajilaumu kurupuka kuchukua uamuzi wa kufunga hotel...
4 Reactions
38 Replies
5K Views
Ikumbukwe wiki kadhaa zimepita paliibuka uvumi wa uwepo wa mchele wa plastic hapa nchini unaosadikiwa kutoka nchini china. Lakini baada ya muda TFDA waliibuka na kusema hakuna kitu kama hicho hapa...
18 Reactions
216 Replies
20K Views
Wakuu ni matumaini yangu kuwa hhamjambo!Naomba kama kuna afisa au bwana Afya aje inbox nimpe dili kuna kampuni moja kubwa tu hapa mjini Dar inafanya uchafuzi wa mazingira kwa kutirisha kinyesi cha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni mwezi kama huu (July) miaka minne iliyopita nilienda katika mahakama moja katika mkoa fulani hapa Tanzania nikiwa katika pilika pilika zangu za kuomba mkopo kwa ajili ya elimu ya juu. Ilikuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimenunua nguo nikakuta mufukoni kuna hela hizi
1 Reactions
96 Replies
12K Views
Samahanini sana wana wa JamiiForums, Hivi ni kwanini tulio wengi tunatumia fake avatars(profile picture) au fake name au vvyote kwa pamoja? Nikianza mimi, natumia fake avatar na jina kwa sababu...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Imegundulika kwamba hii Mikoa mitano ( 5 ) ifuatayo ndiyo inaongoza kwa kuwa na upungufu wa matundu ya Vyoo katika Shule zote za Msingi hapa nchini Tanzania...... Geita ( Ngosha ) Dar es Salaam (...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimetoa Dodoma kuja mwanza nimelipa nauli luxury gari unaambiwa ina choo ndani Ila tumejazwa tiketi moja wamekatiwa watu wa tatu nyingine hadi wa 4 Hewa hakuna hewa nzito watu wamekaa mpaka...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Nadhani nikujipanga aisee na mazoezi spesho, kupunguza weight ni kazi sana. Belly fat ni ishu. Hongereni mnaowezea. Hii Jumapili iliyopita nilibahatika kupita kiwanja kimoja cha mpira...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
kwann kuna mkanganyiko kwenye matumizi ya hiz herufi? yan kuna watu hawajui ni wapi pa kuweka 'R' na wapi kwa kuweka 'L,' mwenye kujua tatizo hili liliko anzia anijuze wasalaam
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naanza kwa kutoa angalizo mapema. Hili bandiko halina nia ya kupondea mtandao wa voda na kutoa promo kwa mitandao mingine. Nachojaribu kueleza hapa ni kitu ambacho nimekifanyia research na...
10 Reactions
80 Replies
8K Views
Naona zoezi linakamilika hivi punde, mwezi huu wameondolewa wengine baada ya wengi wao kushindwa kuwasilisha vithibitisho vyao. Nachokiona:Kama umevuka hili zoezi ujiandae kuona mabadiliko ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajamvi kupitia huku JF hamjambo? Kinachonifurahisha humu ndani wapo wabobevu kila nyanja. Kabla sijajiunga na JF nilikuwa naisikia sana, na pia kila ninaloweka humu ndani, ukweli nafarijika na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyo someka, moja ya habari zilizo enea na ambazo huwapa watu wengi hofu ni kuwepo kwa huyu mdudu. Hofu huzidi kutanda baada ya kuwepo habari kuwa mdudu huyu ana mdhara na kuna...
1 Reactions
36 Replies
19K Views
Habari wanaJF!! siku chache zilizo pita nilikuwa kwenye nyumba moja ya wapangaji (wengi wao ni Wahindi) mitaa ya kariakoo Dar es Salaam. Siku hiyo nilishuhudia kuona watoto wawili wa kihindi...
4 Reactions
152 Replies
22K Views
Dar es Salaam. Licha ya baadhi ya watu kulalamika mara kwa mara kuwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji huchelewa kufika katika maeneo ya ajali za moto, utafiti mpya wa shirika lisilo la kiserikali la...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
HADI LEO SALARY HAIJASOMA LICHA YA KILA KITU KUWA SAHIHI. Watumushi wengi bado wanahaha kuingiziwa mishahara yao.MTU anaambiwa hamna tatizo asubiri.Huu usumbufu unapoteza ari ya MTU kufanya kazi...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Baada ya kupotea hewani kwa siku kadhaa naona Startv wamerudi hewani. Je wameweza kulipa deni walilokua wanadaiwa na TRA au wamenegotiate na kufikia muafaka? All in all heko kwa Diallo kwa...
6 Reactions
199 Replies
19K Views
Back
Top Bottom