CHIEF MGALULA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,193
- 915
Naona zoezi linakamilika hivi punde, mwezi huu wameondolewa wengine baada ya wengi wao kushindwa kuwasilisha vithibitisho vyao.
Nachokiona:Kama umevuka hili zoezi ujiandae kuona mabadiliko ya maslahi ya watumishi wa umma,Natabiri kuondolewa kwa mishahara ya agents za serikali na wote watakuwa na scale moja
Sent using Jamii Forums mobile app