Sefu jafary
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 382
- 258
Kama kichwa kinavyo someka, moja ya habari zilizo enea na ambazo huwapa watu wengi hofu ni kuwepo kwa huyu mdudu.
Hofu huzidi kutanda baada ya kuwepo habari kuwa mdudu huyu ana mdhara na kuna maeneo amesababisha vifo.
Mbali na habari ya vifo pia shape ya huyu mdudu huwaogopesha watu wengi na kuwafanya waamini juu ya kinacho zungumziwa.
Kingine ni maneno yanayo enezwa na baadhi ya watu, ambayo hayajulikani kama ni ya ukweli au ni uzushi
Mfano: Vifo vinavyo semekana vimetokana na huyu mdudu huenea kwa kasi sana bila ya kuwa na ushahidi (Evidence)
Mpaka sasa mdudu huyu amesababisha soko la mboga za majani kuyumba katika baadhi ya maeneo na kuyafanya maisha yazidi kuwa magum.
Hivyo basi kama kuna mwenye ukweli wowote juu ya Kidudu mtu aweke hadharani kama njia ya kutusadia sisi ambao hatujui.
Mambo ambayo yana hitaji ufafanuzi ni pamoja na:
1: Ukweli juu ya Kidudu mtu; ana madhara au hana?
2: Kama yapo kivipi: akiliwa pamoja na mboga au hata akitambaa ni tatizo?
NB: Kuna watu wengi wamejazwa hofu kwa habari za kusikia na ambazo hazina ushahidi.
Hivyo kama habari zako ni za kusikia na huna ushahidi, sio vibaya ukaangalia comments za wengine bila kuchangia chochote.
Nawasilisha mada mezani na:
Hapa chini ni picture ya huyo mdudu.