Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sasa waweza kununua Chopa kwa dola laki moja na elfu ishirini za US. Kwa ufafanuzi soma hapa chini According to HeliWhale, the helicopter will cost $120,000, which includes heating and...
1 Reactions
24 Replies
11K Views
1. Hivi unavoambiwa mtu kaachiwa kwa dhamana ya milion kumi ni hela analipa taslimu au inakuwaje? 2. Na kama ni pesa taslim akimaliza kesi anarudishiwa au? 3. Na kama harudishiwi hela inakuwa ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
JESHI la Polisi Mkoani Kilimanjaro, linamshikilia kijana mmoja mwenye umri wa miaka (16), mkazi wa Sabuko katika Wilaya ya Siha mkoani humo, kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa dada yake mwenye umri...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kinachonisikitisha zaidi ukiwa unaangalia matangazo Mubashara kupitia televisheni ya taifa muonekano wa picha hauna mvuto, tofauti na Azam tv, ITV, Star tv na Clouds tv. Huwa najiuliza sana...
3 Reactions
58 Replies
7K Views
DUNIA ina maajabu yake ndivyo unavyoweza kusema baada ya leo July 27, 2017 mtangazaji Geah habib kuifuatilia Hekaheka iliyotokea Mara ambako wanafamilia moja kugeuka na kula majani baada ya baba...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
HOW WERE YOU TREATED THE FIRST TIME YOU REPORTED FOR THE JOB? Mimi ninakumbuka kwenye kampuni moja ya mawasiliano huko Mwanza siku ya kwanza nilikutana na kaka mmoja wa kabila la moja kutokea...
10 Reactions
166 Replies
17K Views
Mh. Rais wetu John Magufuli. Sisi ni wananchi wa Kinondo mashariki kata ya Mabepande Wilaya ya Kinondoni. Tuna mashaka sana na zoezi LA uhakiki wa ardhi linaloendelea hapa Kinondo Mashariki, kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa siku dala dala linakamatwa kwa takriban mara tatu, askari hawa hawa wanapanda kwenye magari yetu bure juzi tulisikia konda wa daladala ameuawa na walinda usalama ambapo chanzo kilikuwa ni...
2 Reactions
146 Replies
10K Views
Wana JF habari zenu, Mnamo mwaka 2002 aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh. Yusufu Makamba alitangaza baada ya miezi sita kuwanyanganya ardhi wale waliokuwa wakimiliki mashambapori hayo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ukisoma maneno ya mwisho hii taarifa aliyolewa leo utaona wazi kuwa huyu mama ameshindwa kuwa professional kwenye kazi yake na anaongozwa na ushabidi na hisia za kidini. Kwa Mtu wa Habari/PR...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Wote nawapa salamu zangu nyingi. Nachukua nafasi hii kuwaomba SUMATRA na Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani kuwasaidia wananchi ambao wanateseka kwenye usafiri wa umma wakati wa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nzega. Idadi kubwa ya wakazi wa Kijiji cha Undomo wilayani Nzega wameyakimbia makazi yao baada ya wanawake watano kuuawa kwa kuchomwa moto kutokana na imani za kishirikina. Pia, wanafunzi wa...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Mara baada ya kufungiwa na TRA, Redio Free Africa walijiunga na BBC English service saa 24. Lakini sahivi hata hiyo BBC yenyewe haisikiki tena. Saivi ni mawimbi tu shshshshshshhshsh...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu natumaini nyote ni wazima. Kuanzia mwishoni mwa mwaka 2015 ulimwengu wa siasa za Tanzania ulichukuwa sura mpya mara baada ya mgombea aliyekuwa na ushawishi Ndg:Edward Lowasa...
0 Reactions
4 Replies
840 Views
Performance Gold production was 829,705 ounces, 13% higher than 2015, as a result of the range of improvements made within our operations. outlook and expectations We expect gold production in...
0 Reactions
5 Replies
786 Views
Breakdown Tanzania imekuwa ni kero hususani hapa jijini Dar es salaam mara upatapo ajali ambayo gari yako inabidi ivutwe au kubebwa na Breakdown. Kwanza magari yenye kutu tupu hata number unaweza...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Hali ya hatari Katika soko la Hisa la London ...mashaka yashuka kwa 42% Haijawahi kutokea kwa miaka 5 Deni letu jamani .......
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Hebu wadau niambieni nitawezaje kwenda kujipanga kutwa nzima na njaa eti kupiga kura kwa haya yanayotokea sasa. Nisaidieni mawazo. Hata wanangu na wajukuu nawashawishije kupigakura.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mwanamke mmoja mjini Moshi amefariki dunia siku moja kabla ya mazishi ya mumewe. Tukio hilo limekuwa gumzo katika Kata ya Pasua na viunga vyake kwa kuwa mwanamke huyo ndiye aliyekuwa akiwasihi...
5 Reactions
33 Replies
7K Views
Back
Top Bottom