kuna utafiti umefanywa katika jiji LA DAR ES SALAAM maeneo yanayongoza kwa starehe za USIKU kuanzia JUMATU HADI JUMAPILI kumi yanayoongoza kwa STAREHE NA WATU KUKESHA USIKU......
1.MASAKI...
Jamani naombeni mamlaka husika hasa Wizara ya Afya ifuatilie na kufanya uchunguzi mkubwa katika kitengo cha oparesheni pale Hospital ya taifa Muhimbili.Kitengo hiki kimegubikwa na rushwa ya...
Takribani kwa miaka zaidi ya kumi (10), kampuni ya wakenya inayofanya tafiti hapa nchini Tanzania IPSOS-SYNOVATE, imekuwa ikizidi kulalamikiwa kwa report zao za utafiti ambazo hazina ukweli na...
Habari ndugu,
Naomba msaada wenu hapa
Kuna video hii You Tube
nimekutana nayo inamuonesha IGP KAMANDA SIMON SIRO akiwaelezea wananchi wa kagera habari za KIBITI na akiwatahadharisha wao pia...
Salaaaaam bandugu, jamani katika maisha kila mtu anakuwa na mikakati ya kimaisha, katika mikakati yangu mimi nawakwepa marafiki wasiojielewa,
unakuta unakaa na lijamaa mahali mnapiga stori mbili...
Mtoto wa miaka 11 (jina tunalo) amekutwa amekufa katika mazingira ya kutatanisha huku kukiwa na madai kwamba alibakwa kisha akanyongwa.
Mtoto huyo ni wa pekee kwa wazazi wake na ni mwanafunzi wa...
Huyu kijana alikuwa anaomba barabarani kwenye foleni za magari. Alipolisogelea gari la huyo mama ili kuomba msaada akakuta anayemuomba anamatatizo makubwa kuliko yeye huyo mama anapumulia mashine...
Habari za jioni wana jamvi ningependa kufahamishwa uhusiano kati ya katibu mkuu wa wizara mfano wizara ya aridhi na katibu tawala mkoa kiutendaji wako je ..
Wilaya ya mbozi ni miongoni mwa wilaya zilizopo mkoa mpya wa songwe uliogawanywa kutoka mbeya.Wilaya hii inakadiliwa kuwa na wakazi wasiopungua laki 6 na asili ya wakazi wa wilaya hii wengi ni...
Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amekagua shamba lake la mizabibu, lililopo mkoani Dodoma na kusema kuwa mwaka huu mavuno yatakuwa mazuri.
"Nikiwa Dodoma nimepata wasaa wa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limekamata nyara za serikali ambazo ni ngozi moja ya simba na vipande 15 vya meno ya tembo vilivyokuwa vimebebwa kwenye pikipiki.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya...
Nimeipata article hii kutoka kwenye mojawapo ya magazeti ya Zimbabwe. Nilivyoitafakari, nikaona kama vile inaingia pia katika mfumo wetu wa utawala ambapo siku hizi wasomi wanaacha kufundisha vyuo...
Wakuu kwema?
Ni hv ilikuwa Jana namutumia mdogo wangu aliyeko shule kiasi cha 200,000 kwa bahati mbaya nilikosea namba na kuituma kwa mtu mwingne kwa bahati mbaya sikungundua mapema kwani ni leo...
Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 32 mkazi wa Kibiti ameuawa kwa kuchomwa moto akisadikika ni jambazi ndipo wananchi wenye hasira kali kuchukua sheria mkononi ya kumchoma moto
Habari zenu ndugu zangu natumaini jumapili iko poa.
Niende kwenye mada:Nilivyokuwa secondary school kabla ya kuchagua michepuo nilikuwa sipendi kusoma somo la historia because niliona kama...
Wakuu hali gani
Kwa muda mrefu nimekua nikiwa za kuna uhusiano gani kuhusu kubanwa haja kubwa pindi mtu awapo na hofu au wasiwasi bila majibu..
Kwa heshima na taadhima naomba mwenye kujua...
Leo nimefika kwenye kituo cha mafuta ili kuweka mafuta kwenye gari langu. Walipomaliza kuweka mafuta wakanipa risiti ya EFD na baadaye kama kawaida yangu nikaipitia ili nisome kilichoandikwa...
Kanisa Katoliki ndilo mfundishaji mkubwa wa Philosophy (falsafa) na wataalamu wakubwa wa Philosophy wapo ndani ya Kanisa.
Vyuo kama Jordan University college Morogoro (zamani Salvatorian...
Jamani msaada wenu mana kila kukicha nasikia taarifa tofauti sasa kama kuna mwenye taarifa rasmi aniambie kuhusiana na ajira mpya za walimu shule za msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.