Mfumo wa ulipaji mishahara waliza watumishi

Mfumo wa ulipaji mishahara waliza watumishi

JOSE KASANO

Senior Member
Joined
Apr 23, 2013
Posts
122
Reaction score
95
HADI LEO SALARY HAIJASOMA
LICHA YA KILA KITU KUWA SAHIHI.
Watumushi wengi bado wanahaha kuingiziwa mishahara yao.MTU anaambiwa hamna tatizo asubiri.Huu usumbufu unapoteza ari ya MTU kufanya kazi.
Serikali muangalie mfumo huu vzr ili kuondoa usumbufu kwa watumishi.
 
hapa kazi, rubbish
 
Hadi tunaongea hapa wife Salary yake hakuna ati wamebaini Majina yanafanana.
 
Ipo haja ya vyama vya wafanyakazi kukaa meza moja na serikali.Hii hali sio nzuri kwa kweli.

mafisadi hayana chama
 
Mi nilishapata toka ijumaa, toka jana nakwenda kazini na hangover maana nadhinda bar. Mfumo mpya ni mzuri bila huo nisingeweza kwenda bar
 
HIVI KUNA WALIOPATA MISHAHARA LEO KWA WALE AMBAO WALIKUWA BADO HAWAJAINGIZIWA?
 
Back
Top Bottom