Jamani msaada wenu mana kila kukicha nasikia taarifa tofauti sasa kama kuna mwenye taarifa rasmi aniambie kuhusiana na ajira mpya za walimu shule za msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar es Salaam. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimetoa tahadhari kwa wanafunzi wanaoomba kudahiliwa na chuo hicho kuwa makini baada ya kuibuka wimbi la matapeli.
Tangu shughuli ya udahili...
Mita yangu ya LUKU iliharibika miezi kadha kipindi cha mvua. Siku hiyo mvua ilinyesha kubwa sana ndipo matatizo yakaanza. Kwanza ilikuwa inapunja units nikinunua 20 mita inasoma 12 au 9 tu...
mheshimiwa wakili msomi Tundu lisu raisi wa TLS na mwanasheria Mkuu wa chadema na mbunge wa singida mashariki hivi karibuni amekuwa akiwaelekeza mahali kwenu pa kwenda kisiasa. naamini mmemuelewa...
Baba na mama wa marehemu
Dar es Salaam. Vilio na simanzi vimetawala kwenye msiba wa mtoto Norah Marealle baada ya kuwasili kwa wanafunzi wenzake wa Shule ya Atlas ya Ubungo jijini Dar es...
The long-running cross-border trade spat between Kenya and Tanzania has resumed barely four days after the two countries signed a pact removing restrictions that had cost traders billions of...
Haya sasa baada ya kuona battle za Dar vs Nairobi tukaona mapicha kibao, ARUSHA vs MWANZA tukaona mapicha mazuri,(MWANZA palivuta) Tanga vs Mbeya tukaona vituu( Tanga palivuta), Moshi vs Bukoba...
Wana Jf,
Nafanya collection ya stempu za posta na za TRA, stempu hizo nahitaji picha zilizopo kama za ndege, wanyama... nazikusanya kwa ajili ya kumbu kumbu, stempu hizo lazima ziwe za kuanzia...
Wananchi watanzania wanarubuniwa kweli kweli tena sana hasa kwa maneno , na kwavile watanzania 75% ni wajinga wa kuelewa na kupambanua basi kwa hakika watazidi kurubuniwa zaid ya sasa.
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewaondolea hofu watumiaji wa mitandao ya simu, wanaotaka kutumia huduma ya laini moja kwa mitandao yote, kuwa hatawakosa huduma zinazotolewa na makampuni...
WATU wawili wamekufa katika matukio tofauti katika mkoa wa Rukwa, akiwemo mkazi wa Kijiji cha Mafulala Manispaa ya Sumbawanga, Anna Kashamsakula (35) aliyeuawa kikatili baada ya kuchinjwa na...
Mwanamke mmoja mkazi wa Bomarodi manispaa ya Morogoro Neema Monyo amekamatwa na maafisa wa mamlaka wa usimamizi wa bima kanda ya kati (TIRA) kwa kushirikiana na jeshi la polisi kikosi cha usalama...
Miaka 4/5 hivi nilikuwa Dar, ikatangazwa kuwa pengine tsunami ingeweza kupiga bahari ya Hindi na pwani yake. Watu walianza kutoka ofisini mapema saa 8 kuelekea majumbani. Nikiwa Posta nilitumia...
Arusha. Wafanyabiashara wanne wa madini waliomwagiwa kemikali machoni wamehamishiwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC iliyoko mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya uchunguzi zaidi wa kiafya...
Tangia walipopigwa faini kwa uzembe wao sasa wameamua kuwaibia wananchi kwa nguvu. Jana niliweka vocha ya 1,000. Nikajiunga na kifurushi cha 500 cha University.
Ukibonyeza *148*00#
Wakawa...
Habar,
Wakuu mama yangu aliibiwa simu sikukui ya idd maeneo ya Magomeni ikiwa na laini mbili ya tigo na zantel,tuliwapigia tigo tukawaambia waifungie laini wakakubali lakini hawakufanya hivyo...
Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Dodoma imewahukumu watuhumiwa saba kifungo cha miaka 32 jela kila mmoja baada ya kuwatia hatiani kwa makosa matatu ya kukutwa na meno 18 ya Tembo, kuunda genge la...
Naombeni msaada wenu wakuu, mimi ni mtumishi wa umma ambae nimejiunga na watumishi portal, mwanzo nilikuwa naingia vizuri tu na kuangalia taarifa zangu lakini kwa sasa inagoma naambiwa neno la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.