Mtagwa lindi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 311
- 96
Samahani wanajamvi wenzangu wenye ujuzi wa sheria naomba kujua sheria au kifungu cha Uchochezi kipo kwenye sheria gani na ni namba ngapi?
Wengi hatuzijui sheria na yawezekana hao wasimamizi hawafahamu wanachokisimamiaHongera na asante sana mkuu nimeipenda. Kwa kifungu namba 2 ina maana nikiikosoa Serikali kwa mambo mbaya inayofanya ( kama amri ya kukataza mikutano halali ya kisiasa) sio kosa
Sent using Jamii Forums mobile app