Swizzy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 773
- 514
Habari wanaJF!!
siku chache zilizo pita nilikuwa kwenye nyumba moja ya wapangaji (wengi wao ni Wahindi) mitaa ya kariakoo Dar es Salaam. Siku hiyo nilishuhudia kuona watoto wawili wa kihindi kwenye nyumba hiyo na nyumba ya jirani ambao walikuwa ni kama mazezeta (hawana akili timamu). Mwenyeji wangu alinambia mbona wapo wengi sana na sio watoto tu hadi wakubwa wapo.
Mwenyeji wangu aliendelea kunieleza kuwa wanao wafanyia hivyo (uzezeta) ni wazazi wao kwa lengo la kukuza/kutanua/kupata wateja kwenye biashara zao.
Baadaye mimi na mwenyeji wangu tukatoka kutafuta msosi mitaa ya kariakoo hiyohiyo. Wakati tukiendelea kula pembeni alikuwepo mzee mmoja akiwa anapata msosi, tulianza kupiga stori na yule mzee. Sikusita kumuuliza yule mzee kuhusiana na swala hilo la wale watoto nilio waona
Mzee alicheka sana afu akaniuliza kuwa mimi ni mgeni pale kariakoo, nikamjibu ndio. Mzee akaanza kunieleza kuwa wapo wengi sana wenye hali hiyo tena wengine ni wazazi hususani akina mama, watoto, vijana. Mzee naye alinieleza kuwa huwa wanafanyiwa hivyo kwa imani za kishirikina ili biashara za wanao wafanyia hivyo ziende vizuri.
Nilishangaa sana kuona nao wahindi wapo kwenye imani hizi za kishirikina hapa Tz, mi nilijua haya mambo ni ya wabongo tu kumbe hata wahindi wapo?. Mpaka saizi bado sijaamini kama ni kweli wahindi nao wapo kwenye haya mambo.
....Kwa ambaye anajua aje atujuze zaidi hapa kama haya mambo ni kweli yapo kwa hawa Wahindi wa hapa bongo.....
NAWASILISHA
ahsante