Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,654
Naanza kwa kutoa angalizo mapema. Hili bandiko halina nia ya kupondea mtandao wa voda na kutoa promo kwa mitandao mingine.
Nachojaribu kueleza hapa ni kitu ambacho nimekifanyia research na ninaleta summary ya findings.
Hivi sasa ni asilimia kubwa ya watumiaji wa simu wanatumia Smart phones zenye access na internet. Hizi smartphone zinakumbwa na changamoto kubwa ya kuishiwa charge mapema hasa pale data inapokuwa imewashwa.
Ni ukweli kuwa Receiption ya Network ya data bado ipo chini hapa Tanzania. Haijalishi ni katika miji mikubwa au vijijini. Receiption or signal strength inapokuwa chini, simu hutumia power kubwa kusearch network na ndivyo battery inatumika zaidi.
Vodacom ni mtandao mkongwe hapa Tanzania lakini tukija katika upande wa data, signal strength yake sio stable na ipo chini sana kulinganisha na mitandao mingine.
Kitendo cha netwark data kujibadili hovyo mara 3g or 2g, hufyonza power nying sana. Na mtandao wa voda ndyo unaoongoza kujibadili data.
Mi ni mtumiaji wa voda huu mwaka wa kumi sasa. Nimekuwa nikipata changamoto ya simu kuchemka na kuisha charge faster pale napotumia data. Mara ya kwanza nlidhani ni simu ndyo inamatatizo lakini hivi karibuni nimekuja kugundua kua tatizo ni network.
Nimejaribu kutumia halotel wiki ya tatu sasa, sioni simu kuchemka wala kuishiwa battery mapema. Sasa naweza weka data on muda wote na kutumia bila wasiwasi.
Hivyo basi vodacom wanabidi wajitahidi kufanya mtandao wao uwe stabe ili wapunguze kutuharibia battery za simu zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app