Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naamini mko poa wakuu, Mi kuna maswali huwa najiulizaga na sijawahi kuyapatia majibu. 1.Nini tofauti ya mchawi na mwanga? 2.Nitamjuaje mchawi au mwanga (dalili na ishara zake) 3.Nini lengo la...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Jana nkiwa moja ya lecture hall nkimsikiliza lecture wangu wa pathology mida ya jioni nilimsikia mwanafunzi mwenzangu (jina confidential) akilalama toka kipindi kikianza mpaka mwisho kuwa...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Mtu mmoja auawa mkoani Geita, katika kijiji cha Iwamgasa usiku wa leo. Chanzo cha kifo chake alienda katika nyumba akampiga mme wa mtu kwa kumchoma na moko halafu akamchukua mke wake kisha...
3 Reactions
68 Replies
11K Views
Kenya wana tishio kubwa la usalama kuliko Tanzania lakini vyama vya siasa vipo huru kufanya mikutano ya ndani &ya hadhara bila kubughudhiwa. Kwetu maana tofauti kwanini? Dola huongozwa na watu...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Utafiti unaonyesha kwamba mazingira au tabia za wabongo kupenda kubeba kichwani kila aina ya mizigo Mfano Mabegi, Kuni Magunia, Masanduku, Viroba NK. Hali hii imepelekea vichwa vya wabongo...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Kuna ndege imezunguka kama mara tatu eneo hili la Oysterbay ikiwa na gurudumu za mbele na nyuma kulia zimetoka lakini nyuma kushoto zikiwa hazijatoka. Je wataalamu hii ni kawaida? I am just curious
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Tangu asubuhi naingiza vocha za tigo kwa *104* napata meseji isemayo "Connection problem or invalid MMI" Baada ya several attempts nikafanikiwa, lakini tena kujiunga na vifurushi kupitia *148*00#...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
True leader/Teacher Undisputed lawyer/ No kidding/No surrendering Dabster of Tanzania's body politic Unabashed/Unashamed/Untameable Learned brother/Legend of the day Intelligent/Indomitable...
0 Reactions
3 Replies
883 Views
Ningeomba sana serikali yetu iwakumbuke Alibino kwa kuwapa mafuta na miwani ya kuzuia makali ya mionzi ya jua bure au kuondoa kodi zake zote ili wenzetu wapate unafuu wa mafuta haya. Nasema hivi...
0 Reactions
4 Replies
913 Views
Hivi vyama vya CHADEMA na CUF vikifa CCM watashindana na nani? Simba ikifa Yanga itacheza na nani? Kama watanzania lazima tukubali ushindani wa kisiasa kwa moyo mkunjufu, lazima tufanye siasa za...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wanabodi, Gari imemgonga mwanafunzi wa kike na kufariki papo hapo, gari imekimbia, kwa sasa polisi ndio wanafika eneo la tukio. Amegongwa mida ya 06:32 Asubuhi. Sent using Jamii Forums...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Wanajamvi, Mimi ni muumini wa dini ya kikristo, dhehebu langu nitataja nikihitajika kufanya hivyo. Naomba ufafanuzi kwa wale wenye uelewa zaidi kuhusu hawa viongozi wa dini wanaoibuka siku hizi...
3 Reactions
74 Replies
18K Views
Kitu gani tufanye kikubwa na chenye akili ili tuonekane na sisi ni binadamu wenye vipaji vikubwa na hatukustahili kuuzwa kama mbuzi enzi za utumwa? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
976 Views
Achana na wale ma-air hostess wa ethiopian airlines. Hawa pia ni waethiopia wa kabila la Hamar, na hii ya kuchapwa inaitwa Ukuli Bula. It might make sense, that some baes need a little beat up....
1 Reactions
93 Replies
19K Views
Wale wenzangu na mimi ambao ni Watumishi wa Umma tunaolazimishwa kutoa hela kwaajili ya kuratibu shughuli za mbio za Mwenge tukutane hapa tupeane mawili matatu kuhusiana na kugomea kutoa hela...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
WATU wawili wamekufa katika matukio tofauti katika mkoa wa Rukwa, akiwemo mkazi wa Kijiji cha Mafulala Manispaa ya Sumbawanga, Anna Kashamsakula (35) aliyeuawa kikatili baada ya kuchinjwa na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamii forum Hivi kuna uhusiano gani kati ya mtu kuwa rafu na hovyo hovyo na kuwa na akili kwa kuwa tunaona hata mashuleni wale ambao ni nadhifu sana perfomance zao ni za kawaida...
0 Reactions
2 Replies
683 Views
Leo nilikua naangalia ITV kumbukumbu ya vita vya Kagera,na wakati vita hivi vikipiganwa nilikua nimeshazaliwa ila maji nilikua naita mmaah wakati huo,nimekua nikiadithiwa kuwa wakati wa vita...
3 Reactions
56 Replies
8K Views
Jamani kwa nini kila mtu akikanyaga tu lango la kuingilia Mlimani City anaanza kuongea kiingereza? Utasikia cha kuungaunga mara IS na WAS kibao. Kwani mkiongea Kiswahili chenu mtakuwaje? Acheni...
18 Reactions
273 Replies
34K Views
Back
Top Bottom