Nimehisi maumivu kwa niaba yao mwili wote umenisismka.Hao lazima wana vinasaba vya kutosikia maumivu, vimejengeka miaka na miaka tangu enzi za mabibi zao.
Huu ndiyo utahira paseee!
nilisema kosa kubwa alilolifanya mungu ni kumuumba mwafrikaAfrica tuna matatizo mengi na tiba yake labda ianzie kichwani. nimeshindwa kuangalia mara mbili hizo picha...
Mwafrika ni wa kulaanika, hapo ndipo Mungu alikosea kumuumbaKweli waafrika wako kwenye laana, sio bure
Ukipewa green card kuishi say Sweden utakataa kuwa unajivunia kuzaliw tanzaniaJapo kuna watanzania wachukia kuzaliwa Tanzania, mimi nashukuru Mungu nilizaliwa Tanzania. Tena Tanzania hii hii ya leo iliyondokana na mambo kama haya ya kunyukana kisa mapendo.