Ndege kufanya hivi ni kawaida?

Ndege kufanya hivi ni kawaida?

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
43,300
Reaction score
51,741
Kuna ndege imezunguka kama mara tatu eneo hili la Oysterbay ikiwa na gurudumu za mbele na nyuma kulia zimetoka lakini nyuma kushoto zikiwa hazijatoka.

Je wataalamu hii ni kawaida? I am just curious
 
..kawaida kabisa kuzunguka zunguka ndege Mkuu!!
 
Lkn sio kawaida kuzunguka na tairi zikiwa katika hali aliyoitaja mtoa mada. Ebo soma vizuri hiyo post
..mkuu wee ndo Hujaelewa,hivi unafikiri kwa maelezo Ya Jamaa Kuhusu matairi si litakuwa scania Hilo kabisa!!
 
  • Thanks
Reactions: MC7
kutakuwa na hitilafu na ndiyo maana jamaa anajaribu kama zitatoka zote kwa sababu tairi zote huwa zinatoka kwa wakati mmoja na inapotokea shida rubani huchukua muda wa ziada kama atapata suluhisho.
 
Hiyo ndege ina namba gani....???kama ni KXB....basi ni ya Kenya....tuombe iwe salama.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Kuna ndege imezunguka kama mara tatu eneo hili la Oysterbay ikiwa na gurudumu za mbele na nyuma kulia zimetoka lakini nyuma kushoto zikiwa hazijatoka.

Je wataalamu hii ni kawaida? I am just curious
Niulize tu.Ulifuatiia baadaye kujua nini ilikuwa hatima ya hali hiyo? Mwenye kujua atufahamishe.Hilo tu waungwana.
 
Nilifuatilia baada ya huo mzunguko wa tatu haikuonekana tena ila niliiona ni kama fokker yenye ufito wa blue kwa mbali
 
kutakuwa na hitilafu na ndiyo maana jamaa anajaribu kama zitatoka zote kwa sababu tairi zote huwa zinatoka kwa wakati mmoja na inapotokea shida rubani huchukua muda wa ziada kama atapata suluhisho.

Asante Mkuu
 
Back
Top Bottom