Magufuli; True leader/Teacher

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
True leader/Teacher
Undisputed lawyer/
No kidding/No surrendering
Dabster of Tanzania's body politic
Unabashed/Unashamed/Untameable

Learned brother/Legend of the day
Intelligent/Indomitable
Servant of the people
Sure boy/Starring
Usually Correct.

Ukimchukia utakuwa mtu wa kukosa raha siku zote. Humuwezi kwa hoja, kwa taarifa, kwa arguments, kwa sheria, na kwa kuudhi pia. Zaidi ya hayo, hanunuliki!

NOTE. Tundu Lissu... Kuna watu wachache sana dunia wanapata bahati ya "kuishi ", wengi wetu tunapita hapa duniani,tuna survive mda wetu ukifika tunaondoka, tunasahulika..
Lissu ni mojwapo ya watu waliobahatika kuishi.. He has found his true purpose in life, his calling, his destiny..
Moja ya wanasheria mahiri na mwanasiasa wa aina yake..
Mtu kama lissu huwa anatokea once in a lifetime..

Tundu Antiphas Lissu the law legendary of Tanzania
 
Ngoja tusubiri mjadala wa makinikia ndiyo tutakujibu
 
Nadhani unamzungumzia Tundu lisu kuliko Magufuli kwa mujibu Wa Heading yako "Magufuli; True leader/Teacher"

Waambie mods wakubadilishie heading.

BTW Tundu lissu alizaliwa kwa matumizi sahihi.
 
Back
Top Bottom