1. Karudi baba mmoja,
toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja,
na kutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja,
ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli iwafae maishani.
2. Akatamka mgonjwa,
ninaumwa...
HAbari za Jioni Bana Jamii Forum
Unajua nimeona sana watanzania wengi wakilia juu ya suala hili la utapeli wa kimtandao hasa kutokana na ugumu wa maisha na wanahitaji kupata pesa fulani hivi ya...
Nataka kufahamu kuwa ni sheria/lazima kwa eneo ambalo Lina walinzi wa kutumia silaha au limefingwa vifaa vya kuweza kurekodi matukio (CCTV) kuwa na tangazo linalotambulisha uwepo wa vitu/watu hao...
AKAUNTI YANGU YA MSHAHARA IKO NMB TU(SERIKALINI).
Deogratius Kisandu
A/C: 31110007120.
NMB Kenyetta-MWANZA.
Nimelazimika kuweka wazi ili wale mnaosema nina masurufu ya Pesa ukweli ujulikane...
Habar wadau,Kuna ka tabia nimekagundua ka polisi kufanya kila kitu ktk TV hivi sababu ni nini?
Nimegundua wakikamata kitu chochote lazma wakiweke kwenye TV tuone kwenye Habari na Sasa imefikia...
Leo nilikuwa nimehudhuria harusi flan hapa kabisa LA Rc Book naona bado wapiga Picha wanatumia drones hata baada ya kuzuiliwa na serikali. Mimi ni kati ya watanzania wanaopinga sana hivi vidude...
Wale wachina wamiliki wa king'amuzi cha Easy tv wameshindwa kuenenda na kasi mpya ya Magufuli .
Ukiacha idadi kubwa ya wateja kuwa kukimbia, lakini walikuwepo wateja wachache waliolishwa...
Moto umezuka uwanja wa ndege wa Songwe Mbeya. Juhudi za kuzima zinaendelea
Moto mkubwa umezuka katika Uwanja wa Ndege wa Songwe jijini Mbeya leo Julai 29, 2017 majira ya mchana na kuzua taharuki...
Wizara ya Fedha na Mkandarasi wametiliana saini mkataba wenye thamani ya Tsh Bilioni 101 kuboresha Barabara ya Mikumi-Ifakara kwa msaada wa Umoja wa Ulaya, Marekani ‘USAID’ na Uingereza ‘UKAid’...
Hivi eti tigo wanaanza kukukopesha hela baada ya.muda gani?
Maana nimekaa muda mrefu kila nikikopa pesa wananiambia vigezo sina
Sasa vigezo vyao ni vipi mpaka wakupe pesa?
Maana huu mwezi wa...
Nimeshangazwa na akili mbovu ya huyu sam missago anavyoendesha kipindi bila upeo. Anawahoji wadada wawili kuhusu mapenzi anasema eti vijana wanakula chakula bila chumvi ili wakalambe chumvi kwenye...
Ktk kona ya vingunguti barabara ya nyerere zimefungwa taa za kuongozea magari ambazo zinasababisha foleni tu. sijui hawa wajenzi wanajifunzia wapi pyuuu!
habari wanaJF
kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, mimi naona Bunge letu la jamhuri ya muungano lina ongoza kwa kuwa na uzuri/ mvuto ndani na nje. Ila hususani uzuri wa ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.