Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Habari zenu wanajamii forum
Hivi kuna uhusiano gani kati ya mtu kuwa rafu na hovyo hovyo na kuwa na akili kwa kuwa tunaona hata mashuleni wale ambao ni nadhifu sana perfomance zao ni za kawaida sana,vilevile ukifuatilia hata wale wanaotumia bangi wengi wao kichwani wako smart in reasoning,mfano watu wengi wa arusha ambao ni wahuni na wavuta bangi lakini ukiongea nao wanatema madini,hata Bob Marley mistari ya nyimbo zake imejaa madini na jumbe za kutosha.Utamkuta mwanafunzi yupo rafurafu lakini hapo class ni balaa
KUNA UHUSIANO GANI WADAU?