Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa sasa hivi decoder yenu ndo decoder mtu anamudu kununua kwa bei ya chini. Ila mnaweza mkafanikiwa sana ila mzingatie mambo yafuatayo muweze kuliteka soko hapa bongo;- Anzisheni customer care wa...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Wanajamvi, habari za weekend. Nimeikuta hii kwenye gazeti la serikali. Kutokana na upeo wa uelewa wangu ningependa kujua yafuatayo: Je, mpaka sasa tunayo rada ya kuongozea ndege na ina uwezo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwenye mawasiliano ya moja kwa moja ya makao makuu ya vitambulisho vya taifa anisaidie nahitaji.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
AHITIMISHA MGOGORO WA ARDHI, KUWAFUTA MACHOZI WANANCHI Mkuu wa Wilaya ya Kindoni Mhe Ally Hapi leo ametangaza msimamo wa serikali ya wilaya ya Kinondoni kuwa wananchi wa Kunduchi Mecco na mji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
AHITIMISHA MGOGORO WA ARDHI, KUWAFUTA MACHOZI WANANCHI Mkuu wa Wilaya ya Kindoni Mhe Ally Hapi leo ametangaza msimamo wa serikali ya wilaya ya Kinondoni kuwa wananchi wa Kunduchi Mecco na mji...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amekabidhiwa ripoti ya wezi wa magari pamoja na vifaa vya magari na Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es salaam, Lucas Mondya ikiwa ni miezi...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
WATU watano wakiwemo watoto wawili wamekufa katika matukio tofauti yaliyotokea mkoani hapa hivi karibuni ambapo mganga wa jadi, Levocatus Kanjalanga (65) aliuawa kikatili kwa kuchomwa mkuki...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Heshima kwenu wana jamvi. Usiku wa kuamkia leo 'nimeota' njozi ambayo imekifarakanisha kichwa changu mpaka muda huu........ Nimemuona mheshimiwa Lowasa akiwa kwenye halaiki ya watu, ni kama...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Wakuu ningependa kujua zaidi juu ya tips and tricks za iPhone ili kuweza kutumia vizuri simu Mfano. Unaweza kudownload app ya level then ukatumia simu yako Kama pimamaji (spirit level) Au ukatumia...
0 Reactions
3 Replies
961 Views
wadau nimesikia hii simu ni ngumu ku hack kuanzia IOS 8.0 na kuendelea hivi hizi taarifa zina uhakika? mwenye uelewa kuhusu iphone naomba unijuze zaidi....!
0 Reactions
1 Replies
758 Views
Kwa mfano ITV wanaweza kuja kuchukua habari yangu, lakini wana haki ya kuitangaza au kutokuitangaza na siwezi kuwalazimisha waitangaze. Hiyo ni haki yao kuitangaza au kuitupilia mbali kama...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na visa vingi sana vya ubakaji na watuhumiwa wakubwa wamekuwa ni wajomba .Naomba mnisaidie uhusiano uliopo kati ya watu hawa na ubakaji kwa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wameandika Habari Leo Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Ndugu wanajamvi Mimi natoa msaada wa kukupa timu mbili za mpira zenye jumla ya odd 2 ambazo ni lazima zinashinda. Ndugu zangu ukitaka huduma hio kwa siku ya kwanza nakutumia bule na siku...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna watu naweza kusema ni wapiga hela tu hasa hasa facebook wamekuwa na mtindo wa kufungua pages tofautitofauti wakishawishi watu wapakue application yao inaitwa Telebox na nilishasikia kuna watu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati kuna vilio kila kona nchini na sehemu mbalimbali duniani kuhusiana na mabadiliko ya tabianchi yaliyoathiri maisha ya watu, wanyama na viumbe hai vingine, hatari kubwa inatabiriwa kuwapo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
A mother who faked her own death in Tanzania and told her teenage son to lodge a £136,000 life insurance claim has been jailed for two and a half years. Arafa Nassib was found out when...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni members wa hili jamvi wachache sana ambao ni viongozi na walijipambanua wazi wazi kuwa sehemu ya Great thinkers bila kujali jicho hasi la baadhi ya wanasiasa dhidi ya JF. Kati ya viongozi hao...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Ndugu wana JF, Naomba msaada kwa anayefahamu ni station gani inaunganisha BBC asubuhi na jioni, siku za nyumba nilikuwa naipata kupitia RFA 93.8 lakini yapata kama wiki mbili sasa RFA haipatikani...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
. Wakuu habari zenu hpe mko poa Kuna hizi bidhaa nataka niziweke dukan kwangu nimevutiwa nazo sana na natamani nizweke pamoja na logo yangu kama alivyo born 2 shine (hassan mandi) So naomba...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom