Albino ni changamoto kwa serikali

Albino ni changamoto kwa serikali

Kikusya

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
277
Reaction score
389
Ningeomba sana serikali yetu iwakumbuke Alibino kwa kuwapa mafuta na miwani ya kuzuia makali ya mionzi ya jua bure au kuondoa kodi zake zote ili wenzetu wapate unafuu wa mafuta haya. Nasema hivi kwa sababu hili ni tatizo la taifa na siyo mtu mmoja mmoja uwezo na nia ya kuwasaidia kama taifa ipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafuta yapo na yanapatikana mkuu....yanatengenezwa pale kcmc na under the same sun na kuna kliniki zinazoendekea kila wilaya nadhani kwa huyo mgonjwa wako ni bora aende ofisi ya ustawi wa jamii wilaya aweze kuunganishwa na huduma hizi.
 
Back
Top Bottom