JamiiForums hatari, kila kitu utakipata humu

JamiiForums hatari, kila kitu utakipata humu

Big Dy

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2015
Posts
496
Reaction score
615
Husikana kichwa cha habari hapo juu,
Nakili kusema jf ni kiboko ya u Shilawadu, chochote utakacho utakipata tu humu.
bfc1d21207e62bf8136de1099e0189b2.jpg


Kazi ni Kazi
 
Jf Kuna wambea
Jf Kuna wakuda
Jf Kuna wanoko

Ova
 
Mmh! Huu uzi umekaa kimbea mbea, ngoja wenyewe waje! [emoji124][emoji124]

G.Man
 
Ukizingua unafukuliwa kaburi hamna namna...

JF zaidi ya uijuavyo...Bye bye WTF whatsapp twitter facebook
 
Naikubali sababu ni forums halisi za hapa nchini.
 
Huu Uzi siuelewi.
Nitarudi kusoma comments labda naweza pata jambo.
Ila hadi naondoka sijaelewa chochote.
 
Back
Top Bottom