Moto wazuka Uwanja wa ndege wa Songwe

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Moto umezuka uwanja wa ndege wa Songwe Mbeya. Juhudi za kuzima zinaendelea
8a6ff8992d417ca026fb55089cf32dab.jpg

59a3b9bbd8ea8cec90d5d8a5f47f1bcc.jpg
e9b5f163e523e2d956af25ee1a85c726.jpg

Moto mkubwa umezuka katika Uwanja wa Ndege wa Songwe jijini Mbeya leo Julai 29, 2017 majira ya mchana na kuzua taharuki kubwa miongoni mwa wakazi wa karibu na abiria waliokuwa wakitumia uwanja huo kwa safari zao.

Aidha jitihada za kuuzima moto huo zilifanyika wakati huo nakufanikiwa kuuzima licha ya kuwa ulikuwa umeshaanza kusambaa.

Mamlaka husika haijatoa taarifa rasmi kuhusiana na chanzo cha moto huo pamoja na madhara yaliyojitokeza kutokana na ajali hiyo.
 
Juzi tu hapa kulikuwa na hali ya kutoelewana kuhusu uwanja huu wa kimataifa wa Songwe kuwa upo Mkoa wa Mbeya au wa Songwe? Kwa ufupi ulikuwa ukigombaniwa na mwisho wa siki jibu likawa uwanja huu upo Mkoa wa Mbeya.
 
uwanja wa ndege wa songwe uliopo mkoani mbeya
 
Back
Top Bottom