four eyes
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 905
- 1,410
Habar wadau,Kuna ka tabia nimekagundua ka polisi kufanya kila kitu ktk TV hivi sababu ni nini?
Nimegundua wakikamata kitu chochote lazma wakiweke kwenye TV tuone kwenye Habari na Sasa imefikia hata wakifanya mchakamchaka nao unakuwa Habari ya kutuwekea kwenye taarifa.
Vitu kama mchakamchaka vinafanywa sana tu na vyombo vingine na hatuwekewi kwenye TV tuone ni kwanini kwa polisi?
Karibuni wadau wenye kujua sababu ya polisi kupenda sana kuonekana kwenye TV kila Mara mchangie