Huu ni uungwana kweli?

Huu ni uungwana kweli?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,978
Reaction score
36,084
Hivi eti tigo wanaanza kukukopesha hela baada ya.muda gani?

Maana nimekaa muda mrefu kila nikikopa pesa wananiambia vigezo sina

Sasa vigezo vyao ni vipi mpaka wakupe pesa?

Maana huu mwezi wa tano sasa lakini pesa hawanipi .
 
Kumbe ulijiunga ili ukope? Ha ha hupati. Always ni miezi mitatu ila lazima uwe mteja ambaye system ikikutathmini unaonekana ni full functioning
Unanunua vocha
Unapiga na kupigiwa
Upo online almost 24/7
Unafanya mihamala ya pesa
Nk nk
 
Kumbe ulijiunga ili ukope? Ha ha hupati. Always ni miezi mitatu ila lazima uwe mteja ambaye system ikikutathmini unaonekana ni full functioning
Unanunua vocha
Unapiga na kupigiwa
Upo online almost 24/7
Unafanya mihamala ya pesa
Nk nk
Mihamala nafanya mara kwa mara
 
me wamenikopesha laki tatu leo, ila nadhani wana vigezo ,,laini iwe ya muda mrefu na mengineyo kuhusu mihamala unayofanya, ,,
 
Back
Top Bottom