Nimeshangaa kusoma hili tangazo linaloashiria kuwa Chuo cha Ardhi kimepanuka haraka sana kufikia saizi hi kwenye pichai. Ama picha iliyotumiwa inatuma ujumbe potofu au ndiyo hivyo, chuo kimepanuka!
Kauli iliyoleta matokeo chanya Tz
Commred Chichimizi
Kauli [emoji23]...Kauli ya kiufundi ya Mhe.Rais JPM ya serikali haina shamba, hivyo mgao wa chakula hakuna. Kauli iliyoleta uwajibikaji na...
Tetemeko lililodumu kwa takriban sekunde tano limetokea leo, Julai 30 saa nne asubuhi katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kayanga wilayani Karagwe, lakini hakuna madhara yaliyoripotiwa kutokea...
Vikosi maalum vya majeshi ya nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) vitafanya zoezi la pamoja lililopewa jina la (Ex Matumbawe) katika mkoa wa Tanga ili kuviwezesha vikosi vya jeshi...
MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Nchini (TCAA), inatarajiwa kununua rada nne kwa ajili ya kumulika anga la Tanzania mpaka nje ya nchi.
Kwa mujibu wa Mwanasheria Mwandamizi wa TCAA, Maria Memba, rada...
Katika kazi ambazo inasemekana zina mshahara mnono basi mojawapo ni kazi ya UDAKTARI..
Cha kushangaza ni maisha ya kuunga unga wanayoishi madaktari yaani unaweza kukutana na daktari mtaani...
Mkuu wa Wilaya ya ilala, Sofia Mjema amemuagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala kuwachukulia hatua askari wake wanaochukua rushwa kutoka kwa waendesha bodaboda.
Pia, amesema kuanzia jana vikundi...
Habari zenu wakuu!
Hongera zao wale walokuwa ibadani leo. Pole zao wale walokuwa katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku.
Natumia kiswahili ili kila msomaji aelewe ili kuepuka lugha za...
Barriadi, Simiyu.
Ni wiki ya tatu sasa tangu niingie Bariadi, kitu kimojawapo nilichogundua (katika shughuli zangu za utafiti) ni uwepo wa uvunjifu mkubwa wa sheria za barabarani hapa Bariadi...
Mada hapo juu yajieleza. Sisimizi wamekuwa wakikera sana hapa nyumbani ninapoishi. Wanapenda sana kuingia kwenye chakula kilichopikwa. Sitaki kuwauwa kwa sumu kwani baadhi ya watu husema...
Ni mambo ya kusikitisha sana na inafedhehesha wateja haswa wenye vibegi na mifuko kuwaomba wakabidhi kaunta kabla ya kuingia kwenye maduka yao haswa makubwa.
Yaani mteja ni mwizi badala ya...
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dkt.Binilith Mahenge amewaagiza wakala wa huduma za misitu mkoa wa Ruvuma(TFS), kuwakamata wafanyabiashara wanaosafirisha mazao ya misitu bila kibali na kutaifisha, kupiga...
Mke wa marehemu Mchungaji Christopher Mtikila, aliyefariki dunia Oktoba 4, mwaka juzi, Georgia Mtikila, amevunja ukimya na kuzungumzia jinsi anavyoteswa na kesi tatu zilizoachwa mahakamani na...
Kunataarifa kuwa siku ya tarehe 31/08/2017 uongozi wa wafanyabiashara soko kuu majengo unampango wa kutaka kuwafukuza watoa huduma wa bodaboda hapo sokoni kwa kisingizio cha kutolipa ushuru ambao...
Ndugu wana JF,
Kumekuwa na mtazamo kwamba nchi yetu imegubikwa na maovu mengi yakiwemo mambo ya ufisadi,biashara haramu na upigaji dili yakitamalaki miongoni wa wananchi na hata baadhi ya viongozi...
Habari wadau.
Naomba usipite bila kunipa msaada wapi tutapata msaada wa aina yoyote toka kwa wafadhili. ili tuweze kuendeleza miradi tuliyobuni kwenye kikundi chetu cha vijana.
Kama unafahamu...
Sakata la kifo cha mchimbaji madini ya Tanzanite katika Mgodi wa Gem & Rock Venture wa mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, limechukua sura mpya baada ya mgodi huo na ule wa CT...
Mnatunyanyasa na kututesa sisi wakati na abiria wa mabasi ya mwendo kasi UDART kwa kutomalizia kituo kuweka machine za Ku scan tiketi ili kitumike na kupandishia abiria kuliko inayoendelea ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.