VIDEO: Kesi ya Tundu Lissu yazua jambo kwa Familia ya Kamanda Wema Sepetu

akome kihere here cha nn? Hamna kazi za kufanya kwan? Hahahaha pole yake aisee.
 
Kuna tatizo mahali
Sijui kwann kwani huo umekuwa ugomvi?
Kuna haja ya polisi kujitathimini
 
Tuwaombee watunyooshe. Bila shida hauwezi kupata maendeleo. Unadhani nchi zilizoendelea ziliendelea vipi? Walinyooshwa kwanza, sasa sisi ndio kwanza bado mnaanza kulalamika.

Ingekuwa bora kama.angejinyoosha yeye mwenyewe kwanza
 
Hivi wema nae ni kamanda?
Labda kamanda wa wapumbavu like lissu, mbowe, Lipumba etc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom