chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
Hali imekua tete mtaani
commred Chichimizi
Mitaani hali ya kiuchumi si shwari kabisa.....maisha yamekua magumu kiasi.....kodi inakusanywa vzr kabisa lakini baada ya kukusanywa hairudi au inarudi kidogo sana hivyo kusababisha mzunguko wa fedha kupungua sana mitaani....na maisha kuwa magumu kwa wananchi...wananchi wanakosa uwezo wa kupachase kabisa thus y biashara na zenyewe zinabuma na kudorora kabisa na wengine kufunga biashara zao kabisa.
Ushauri wangu kwa serikali
1.Ipunguze kiasi cha kodi kwa wawekezaji na wafanyabiashara hii itapelekea urahisi wa kukisanya na kuongeza idadi ya wawekezaji na walipa kodi kiujumla.
2.kuhakikisha hakuna watu wanaochimbia au kufungia pesa kwenye masanduku majumbani mwao maana hii inazorotesha mzunguko wa fedha mitaani.(pia wale wanaopeleka uswizi washughulikiwe kikamilifu).
Commred Chichimizi