Tanzania Daima kumuomba radhi DC Ludewa

Tanzania Daima kumuomba radhi DC Ludewa

dully santo

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2014
Posts
260
Reaction score
334
Baraza la Habari Tanzania (MCT) imeliagiza gazeti la Tanzania Daima kuomba radhi kwa Mkuu wa wilaya ya Ludewa Andrea Tsere kwa kosa la kuchapisha taarifa zisizo sahihi.

Tareh 5 December mwaka 2016 gazeti hilo lilichapisha taarifa yenye kichwa cha habari 'DC, familia yake walazwa chooni' kitu ambacho si kweli.

Akitoa uamuzi wa shauri hilo Katibu wa MCT Kajubi Mukajanga alisema gazeti la Tanzania Daima lihakikishe limemuomba radhi mkuu huyo wa wilaya kwa kuchapisha hbr 'Front Page' Na kurudisha gharama zote za kusikilizwa shauri hilo.
 
Back
Top Bottom