Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 3,574
- 4,857
Leo hii kuna Noah imejaa vijana wana vikoti vya reflector wamepita mtaani na kukamata mtu aliyepaki gari kisa hajawasha taa za hazard. Ajabu walikuwa na askari mwenye bunduki ndani ya noah yao. Huu mradi alieuanzisha ni nani mbona wakati wa utawala wa JK haya mambo hayakuwepo. Kampuni nyingi zimepunguza wafanyakazi watu hawana kipato na hawa madalali wanazidi kutunyonya wananchi. Haiingii akilini mtu apaki gari nje ya nyumbayake halafu awashe taa kwa betri zipi zenye viwango zinazouzwa Tanzania. Huu ni wizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app