Kwa kweli jamani wacha leo niongee, kuna hizi kero huwa sizipendi sana maana huwa zina niboa na kunipa stress.
1. Pale unaposubili kipindi ukipendacho cha radio/Tv mara ghafla mitambo/umeme...
Kuna sakata la yule mdosi IQBAL, ambaye alimkabidhi eneo Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kule kigamboni ambalo SI MALI YAKE, baadae WAZIRI LUKUVI alitoa taarifa kuwa mdosi kampiga changa la...
Rais amekuwa akitumia lugha ya kiswahili kulihutubutia Taifa na watanzania toka ameingia madarakani na ametoa taarifa rasmi kwa umma.
Ila anatumia lugha za asili kusisitiza jambo aidha serious au...
Wakuu hii shida wanaotupatia tanesco kwa kutufungia mita za kwenye nguzo ambazo zinakata umeme kisa eti Low voltage ni hujuma. Nasema hivi kwa sababu wao wanalitambua tatizo hili na mbaya zaidi...
Pambana na hali yako ni msemo ulioshika kasi na kupata umaarufu kwa muda mfupi. Msemo huu usio rasmi ukiutizama kwa makini umebeba nadharia nzuri inayodhamiria kuleta changamoto kwa kila...
UBORESHAJI WA MTAMBO MPYA WA UZALISHAJI MAJI WA RUVU JUU.
Shirika Ia Maji Safi na Maji taka Dar-es-salaam (DAWASCO), Iinawatangazia wateja wake wote wa jiji la Dar es-salaam pamoja na Mji wa...
Jamaa katokea eti alikuwa mganga na mbwembwe nyingi anadai sasa amerudi kwenye mambo ya kikristo na kumwamini Mungu anaomba msaada.
Kudanganganya sio shida shida ni pale anapodanganya hadi...
Nimefanya utafiti kwa muda mrefu hatimaye nimegundua kuwa sigara inaponesha kabisa mafua hasa yale mafua yanayochuluzika.
Unatakiwa ukiwa unavuta sigara utoe moshi mwingi puani,,huo moshi ukiwa...
Za jumapili hii wana jamvi hapa..niende kwenye mada...Mimi nimeanza kutumia mitandao ya kijamii toka 2006..na zaidi nilikuwa natumia mitandao ya ulaya. Kama migle 2,tagged,hi5..nk..lakini katika...
Upendoo sioo kujibishana kwenye post hata salamu nazo n upendo ulioje
Nawatakia woote Jumapili njema wale afya zao zinaterereka maombi yangu kwa Mungu wawe wazima wa afya.
Tuesday September 28, 2010 Local NewsHoteliers double loss saga
MARC NKWAME, Arusha, 27th September 2010 @ 22:00, Total Comments: 0, Hits: 298
CASH amounting to about 100 million/- has been...
Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Nembles Mbatia ameuawa kwa kupigwa bomu na wengine 13 kujeruhiwa vibaya wakiwemo askari wawili wa jeshi la polisi wakati wa vurugu za kugombea mpaka wa eneo la...
Wadau habari zenu
Katika mazungumzo ya vijiweni jana kuna jamaa akatukatia kuwa ukichinja paka ukamwaga damu mlangoni kwa mtu, wote wanaoishi hapo watapata mikosi mfululizo.
Nilijaribu kwa mtu...
Biashara 3 bora za kufanya ktk kipindi hiki cha mpito.(mdororo wa kiuchumi)
Commred Chichimizi
1.Fanya biashara inayohusiana na afya ya binadamu.
2.Fanya biashat a inayohusiana na...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeombwa kufuatilia kwa makini mawasiliano ya simu za mkononi ili kubaini watu wanaotumia mitandao hiyo kinyume na sheria.
Ombi hilo limetolewa na...
Nimeshangaa kusoma hili tangazo linaloashiria kuwa Chuo cha Ardhi kimepanuka haraka sana kufikia saizi hi kwenye pichai. Ama picha iliyotumiwa inatuma ujumbe potofu au ndiyo hivyo, chuo kimepanuka!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.