Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Unajua kuna watu wakidharauliwa huwa wanachukia sana na kuumia. Wengine wanaweza wakapata hadi pressure, lakini unasahau ya kuwa thamani yako unayo wewe mwenyewe sio mtu anayekuzunguka. Wewe ndio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BASATA tuleteeni pesa zetu, isipungue billion moja. Nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati watu wakiendelea kudai demokrasia na wenye busara wakielimisha umuhimu wa uongozi kuwa na ukomo kwa mustakabali wa maendeleo ya wananchi wao, hivi karibuni kumejitokeza watu tena ndani ya...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
ninalotaka kujua ndio Hilo wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MWANAMUME mmoja amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Musoma mkoani Mara, kwa makosa ya mauaji ya watu 17, wote wa familia moja, wakazi wa eneo la Mugaranjabo wilayani humo, kwa kuwakata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kumekuwa na vumbi ambalo si la kawaida linalo toka ndani ya mgodi wa bulyahulu ambalo linakuwa ni vumbi jeupe ambalo ukivuta hewa yake unahisi pua zinawasha sana.Hali hiii imetokea baada ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nawaza kama sheria tumezitunga wenyewe iweje tunashindwa kuzitumia wandani huku tukilalamikia was nje awafwati sheria Mh Mpinga.. Kunaa jambo la ajabu sana hapa Morogoro kituoni...Wapo askari...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Siku ya jumamosi ya tarehe 29.7.2017 kulibainika kayaking ya wachimbaji wa madini wawili waliouawa kufuatia mapigano ya wachimbaji baina ya mgodi wa Tanzanite one dhidi ya mgodi maarufu kwa jina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Agosti 30, 2017 itatoa hukumu katika kesi ya kushindwa kuhifadhi silaha na risasi inayomkabili Askofu wa Kanisa la ufufuo na uzima, Josephat Gwajima na wenzake...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninavyojua kodi inayolipwa ni pamoja na kugharamia Shughuli za Serikali ikiwemo Police. Sasa huwa kuna utaratibu kwamba ukifika Police utaambiwa Gari halina mafuta hivyo changieni mafuta. Kwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Agosti 30, 2017 itatoa hukumu katika kesi ya kushindwa kuhifadhi silaha na risasi inayomkabili Askofu wa Kanisa la ufufuo na uzima, Josephat Gwajima na wenzake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Miaka hiyo ya 1990s hivi viwanja au uwanja wa fisi lilikuwa ni moja la eneo maarufu sana hapa dar. miaka sisi wakongwe ambao kwa sasa mnatuita wahenga ndo yalikuwa maeneo yetu ya kujidai pale...
12 Reactions
24 Replies
7K Views
Wafanyabiashara wanne wa madini (brokers) mtaa wa St. Thomas jijini Arusha wapo hoi hospitalini wakiugulia maumivu baada ya kumwagiwa maji maji yanayohisiwa ni kemikali ya sumu machoni na kundi la...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Mara moja kwa mwaka, katika kijiji cha Hispania cha Castrillo de Murcia, unaweza kukutana na kimbwanga hichi. Watoto wachanga wakiwa wamelezwa chini kwa maelfu mtaani huku wanaume wakiwa wamevaa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Tunapokwa haki zetu na wasomali ndani ya nchi yetu,hv nani anawapa kiburi hawa wasomali wa kampuni ya Rightway hapa Kongowe Tuangoma? Nyie watanzania wenzetu mnaonunuliwa na hawa wageni na...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu nipo huku Geita, katika pita pita zangu nimeokota hili jiwe, Je laweza kuwa nini!?
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa uzi uliopo jukwaa la siasa kuna mdau ametualert tuwe makini kwani sheria mpya inaweza ikasainiwa wiki hii. ili nijiweke ktk mikono salama ni bora nijiondoe mapema kwani humu hua...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Hawa wasomali mbona mliopewa dhamana mnawaacha wanafanya wanavyotaka ndani ya nchi yetu wenyewe,wamejazana wenyewe kila kitengo na kuchukua fulsa kuwanyanyasa wafanyakazi wao,hv hz nafasi hakuna...
0 Reactions
4 Replies
860 Views
Habari ya wakati, Watu wengi wana tatizo la kufikiri, hivyo hupelekea watu wengi kujiingiza kwenye kitu kwa kufuata mkumbo bila kufikiri au kua na hoja za msingi. Kwenye masomo ya...
2 Reactions
68 Replies
13K Views
Back
Top Bottom