maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,507
- 6,455
Wakuj nimeskia jumla ya mabomu matatu mbezi beach kama kuna ambae yupo karibu atujuze ni ya nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ni wavuvi haramu au mazoezi ya kijeshi.Wakuj nimeskia jumla ya mabomu matatu mbezi beach kama kuna ambae yupo karibu atujuze ni ya nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama koku kimya basi hao ni wavuvi haramu - wanasubiri samaki walio kufa kwa mlipuko wa mabom waelee juu ya maji ili wavuvi waweze kuwaopoa kirahisi. Jamaa hawa ni wajinga sana - Dynamite fishing uharibu mazalio ya samaki pamoja coral reefs, wahusika wanapaswa kutiwa mbaroni na kuhukumiwa kufungwa maisha.