KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,332
Unajua kuna watu wakidharauliwa huwa wanachukia sana na kuumia. Wengine wanaweza wakapata hadi pressure, lakini unasahau ya kuwa thamani yako unayo wewe mwenyewe sio mtu anayekuzunguka. Wewe ndio unawajibika kuwaonyesha watu thamani yako.
Mfano Mzuri huu hapa;
Wakati Giggy money anaonyesha tu bure nguo za ndani kule Instagram na kujitia aibu, Wakili msomi Fatma Karume ukimgusa bila ridhaa yake faini billion 1..
Hakika biblia haikukosea ilipoandika kwenye Mithali: "Mwanangu mshike sana elimu. Kamwe usimuache aende zake".