Tusaidiane juu ya hili kuhusu Visa

Tusaidiane juu ya hili kuhusu Visa

Brown Kwacha

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
299
Reaction score
409
Mtu una schengen visa ya short-stay 90 days unataka kuvuka border ndani ya schengen area labda kutoka Italy to Germany.

Je kipi kinahitajika tena au utapita tu bila tatizo lolote? Naomba mniweke sawa kwenye hili kwa mliowahi kulifanya sio wale wa kuliskia.
 
Unapokuwa visa ya schengen, control hufanyika "at the point of entry" tu! Huko kwingine hakuna "border control",ila ni muhimu uwe na passport yako muda wote "just in case"!
 
Asante mkuu.....[emoji106]
 
Na pia uwe na pocket money kama unasafiri kwa usafiriii wa train, wakati mwnegine Askari mnokooo anaweza akafanya check na akakuuliza, kukuhofia labda mkimbizi ukashindwa kujibu choochote.
 
Poa poa. Eti kitu kidogo au vipi?
 
Na pia uwe na pocket money kama unasafiri kwa usafiriii wa train, wakati mwnegine Askari mnokooo anaweza akafanya check na akakuuliza, kukuhofia labda mkimbizi ukashindwa kujibu choochote.

"Pocket money" ni kwa matumizi yako binafsi na sio ya "kitu kidogo kwa askari"!!! Ukishakuwa na "valid visa" na "valid ticket" kwa usafiri unaoutumia hamna wa kukusumbua! Usitishwe hapa mtandaoni na wala ukiwa safarini usiogope askari - tena ukiwa na lolote la kutaka kufahamishwa hao ndio watu sahihi wa kuwauliza maelekezo!
 
Back
Top Bottom