Imefika mwezi sasa sijapata mkopo

Imefika mwezi sasa sijapata mkopo

Nejad Rocket

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Posts
298
Reaction score
198
Habari wana JF,

Mwezi wa 6 nilijaza fomu bank fulani kuomba mkopo wa biashara. Nimekamilisha vigezo vyote ikiwemo hati ya nyumba lakini kimya nikiuliza wanasema eti mtandao sijui visasi mana tulipishana maneno na mhusika mwaka jana tulikuwa tunagombania mpaka wa kiwanja sijui ananikomesha sasa ofisini kwake. Nimekusanya mazao ya wakulima mkopo hamna jamani tusiishi kwa visasi. Wadau nifanyeje? Jiwe kwa darkness.
 
Kama ni Bank ya Posta there's something wrong sio visa. Kwa upande mwingine maneno ya Mbowe leo yanatisha sana kama ndio hali halisi ya uchimi wa Danganyika!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mpambanaji, sasa hao wakulima uliokusanya mazao yao watakuelewa kweli?


MUNGU akufanyie wepesi
 
[HASHTAG]#Chakii[/HASHTAG] Tz Ni Mwendo Wa Kukwamishana Kwenda Mbele Kwa Visasi
 
Back
Top Bottom