Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anaandika Mtangazaji wa Startv Dotto Bulendu. Serikali inafanya jambo kubwa la kuhakikisha inaziba mianya yote ya kukwepa kodi,kundi pekee ambalo lilibakia nchini linalipa kodi bila kukwepa...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu, Dogo langu limesoma CBG limefaulu, sasa naomba ushauri. Huyu dogo akasome course gani huko chuo? Yeye anafikiria kusoma Geology, wakuu mnashauri asome nini na kwasababu gani?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ahueni iliyoanza kujitokeza kwenye sekta ya fedha nchini, imepigwa dafrao baada ya faida ya benki kubwa kupungua kwenye robo ya pili ya mwaka huu. Itakumbukwa, benki hizo ziliyumba kuanzia robo ya...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Habarini wanajamvi. Katika hali isiyo ya kawaida ila yenye kuleta fahari, hamasa, msisimko, mzuka, faraja, lakini zaidi sifa kubwa kwa taifa ni swala la mfululizo wa matukio ya ujio wa watu...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
*TAARIFA* Ofisi ya Warden pamoja na ofisi ya wanafunzi hall 7, tunapenda kuwajulisha kuwa leo tarehe 1 August 2017, amekamatwa mtu(mdada) anayesadikika kuhusika katika wizi wa PC hall 7 miezi...
4 Reactions
54 Replies
8K Views
Mkurugenzi Mkuu wa TFDA, Hiiti Sillo amekanusha taarifa za kuwepo kwa mchele na Mayai ya Plastiki nchini zinazoenea mitaani.
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imetoa ahadi ya kuipatia Serikali ya Tanzania mkopo wenye masharti nafuu. Mkopo huo utakuwa mahsusi kwa ajili ya ujenzi kufanikisha ujenzi wa reli ya kati...
3 Reactions
65 Replies
12K Views
Mtoto mchanga aokotwa na kupewa matibabu na anaendelea vizuri. Hivi ili janga chanzo chake hasa ni nini?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Embu angalieni hii.. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
750 Views
Mamia ya Wavuvi katika bahari ya Hindi wamesitisha shughuli zao kufuatia tuhuma za wenzao wawili kupigwa risasi na wengine kushikiliwa. ====== Picha hizo ni mashine ya boti ya uvuvi kigamboni...
2 Reactions
24 Replies
6K Views
Mkuu wa Mkoa Arusha, Mrisho Gambo akacha maonesho ya Nanenane leo ambapo ratiba inaonesha alitakiwa kuyatembelea kabla ya ufunguzi rasmi hapo kesho. Wadadisi wanasema hii nikutokana na tetesi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa jina maarufu hujulikana kama beltway (barabara) ya kufunga mkanda. Usipofunga mkanda hapo ni hasara yako. Magari yote husafiri kwa spidi ya kati ya 100km/h na 130km/h. Ingawaje spidi ya mwisho...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau sukari sasa hivi mikoa mingi ni shilingi elfu 3 kwa kilo, hali inayofanya maisha kuwa magumu zaidi kwa watanzania. Najiuliza ndio tuseme serikali imezidiwa nguvu na wafanyabiashara? Je...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Basi la kampuni ya Sharon lililokuwa litatoka Dodoma kwenda Arusha, limepinduka eneo la mabanzini mjini Babati na kusababisha vifo vya watu wawili huku wengine wakijeruhiwa. Majeruhi wa ajarili...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Kwenye Leo Tena ya Clouds FM leo August 2, 2017 Mtangazaji Geah Habib ameifikisha Hekaheka iliyotokea Mtoni Kijichi DSM ambako nyumba ya Harusi iligeuka kilioni baada ya mwanamke kuolewa na...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Habari za Jioni, Swali fupi tu; Walimwengu husema eti picha zinaongea. Yani picha bila kuweka neno lolote...yenyewe inajieleza au inatoa ujumbe uliokamilika. Mwenzenu picha hii naona kama...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
MKAZI wa Mtaa wa Makanyagio katika Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, Beatrice Kangu (48) amekufa muda mfupi baada ya kutoa sadaka katika ibada ya Jumapili iliyofanyika katika Kigango cha Kanisa...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Kwa wapembuzi WA mambo Naona jopo la makanikia wote wametwanga suti Za bluu. Je hii imepangwa au imetokea tu? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
811 Views
Asante Mungu
0 Reactions
3 Replies
574 Views
Jamani kwa anaejua kudownload magemu kwenye kompyuta hasa ya mpira wa miguu!!! Matusi mwiko Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
779 Views
Back
Top Bottom