Bei ya Sukari: Serikali imetupia taulo ulingoni?

Bei ya Sukari: Serikali imetupia taulo ulingoni?

kimaus

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
584
Reaction score
707
Wadau sukari sasa hivi mikoa mingi ni shilingi elfu 3 kwa kilo, hali inayofanya maisha kuwa magumu zaidi kwa watanzania. Najiuliza ndio tuseme serikali imezidiwa nguvu na wafanyabiashara? Je ile 'bei elekezi' inafanyiwa 'enforcement' kweli au ndio funika kombe...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa jinsi nijuavyo mimi, "the controlled price is a price at which a commodity is not available".
 
Wadau sukari sasa hivi mikoa mingi ni shilingi elfu 3 kwa kilo, hali inayofanya maisha kuwa magumu zaidi kwa watanzania. Najiuliza ndio tuseme serikali imezidiwa nguvu na wafanyabiashara? Je ile 'bei elekezi' inafanyiwa 'enforcement' kweli au ndio funika kombe...?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja wachukue maekezo kutoka juu wakujilie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si aligombana na yule kwa visasi vyake ndio yakaja haya. Maana sielewi ilikiwa 1800 2015 but ghafla watu wakaanza mafujo na mautemi mara ikawa 3000+ kilichobaki ni stori

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom