Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 749
- 1,797
Mkuu wa Mkoa Arusha, Mrisho Gambo akacha maonesho ya Nanenane leo ambapo ratiba inaonesha alitakiwa kuyatembelea kabla ya ufunguzi rasmi hapo kesho.
Wadadisi wanasema hii nikutokana na tetesi kuwa amewaonea wafanyabiashara waliowekeza ndani ya Nanenane kwa miaka mingi
ambapo sasa wameambiwa watoke na maduka kulipa tshs. 200,000 kwa wiki hii ya Nanenane kodi ambayo ni kinyume na sheria kwani haipo kwenye mkataba bali ni agizo lake.
Hali katika maonesho ya Nanenane imekuwa tete baada ya Mkuu wa Mkoa kulazimisha mambo kwani amehodhi kila kitu yeye hata vitambulisho na utoaji wake na risiti kuwa na Muhuri wake.
Sent using Jamii Forums mobile app