figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,200
- 64,645
Mamia ya Wavuvi katika bahari ya Hindi wamesitisha shughuli zao kufuatia tuhuma za wenzao wawili kupigwa risasi na wengine kushikiliwa.
======
Picha hizo ni mashine ya boti ya uvuvi kigamboni dar zikiwa na matundu ya risasi eti kwa kile kinachodaiwa kuwa walidaiwa leseni wavuvi na kujibu tunazo, ndio baadae kidogo nahodha wa boti ya uvuvi isiyo hata mwendo akaamua kuondoa chombo chake na ndipo afande mwenye elimu ya juu na ubora ktk ulinzi akaitupia risasi.
Chomboni kukiwa na wavuvi kama 20, taarifa ni kuwa walijeruhiwa wawili ktk hao wavuvi na mashine ikiwa imeharibiwa.