batamzinga Member Joined Oct 23, 2012 Posts 35 Reaction score 26 Aug 2, 2017 #1 Kwa wapembuzi WA mambo Naona jopo la makanikia wote wametwanga suti Za bluu. Je hii imepangwa au imetokea tu? Sent using Jamii Forums mobile app Attachments IMG_20170802_172402.jpg 28.8 KB · Views: 39
Kwa wapembuzi WA mambo Naona jopo la makanikia wote wametwanga suti Za bluu. Je hii imepangwa au imetokea tu? Sent using Jamii Forums mobile app
Ramea JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 2,146 Reaction score 4,093 Aug 2, 2017 #2 Jaribu kuedit habari yako kabla hujapost, title pekee inamfanya mtu hata asifungue thread.