Ajali Babati: Basi la Sharon laua watu 2 na wengine kadhaa kujeruhiwa

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,513
Basi la kampuni ya Sharon lililokuwa litatoka Dodoma kwenda Arusha, limepinduka eneo la mabanzini mjini Babati na kusababisha vifo vya watu wawili huku wengine wakijeruhiwa.

Majeruhi wa ajarili hiyo wamepelekwa hospitali ya Mrara mjini Babati.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara akizungumza na gazeti hili, Francis Massawe akizungumza juu ya ajali hiyo alisema kondakta na mtoto mdogo ndiyo walifariki.
 
ajali%2Bbabati.jpg

Ni kabla ya kufika Babati ukitokea Dodoma au ukishapita Babati?
 
Basi la kampuni ya Sharon lililokuwa litatoka Dodoma kwenda Arusha, limepinduka eneo la mabanzini mjini Babati na kusababisha vifo vya watu wawili huku wengine wakijeruhiwa.

View attachment 556226
Majeruhi wa ajarili hiyo wamepelekwa hospitali ya Mrara mjini Babati.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara akizungumza na gazeti hili, Francis Massawe akizungumza juu ya ajali hiyo alisema kondakta na mtoto mdogo ndiyo walifariki.
Whaaat!!!!!
 
Poleni sana jamani tena huyo kondakta ni ndiyo Fundi wao hiyo kampuni ya Sharon.

R.I.P marahemu wote na majeruhi Mungu awape uponaji wa haraka.
 
Tumepoteza nguvu kazi

May Allah bless Me and You
 
Back
Top Bottom